Umekutana nao wap?Habari,
Katika mihangaiko yangu ya kutafuta ajira nimekutana na watu wanajiita mawakala wa ajira (kitu kama hicho).. yaani unawalipa na wanakuunganisha na ajira. Nimesikia kua hawa watu ni matapeli, je kuna walio wakweli? kuna mtu alishawai kutana nao na akapatiwa kweli kazi?
Usije ukajaribu hiyo ela kama huna kazi nayo naomba unitumie nkanywe juice..wanapost nafasi za kazi, ukiwatafuta ndo wanakueleza kua zipo nafasi ila unatakiwa ulipe hela fulani kwa ajili ya kuprocess hiyo ajira.
kumbe ushakutana nao ππ... kuna mmoja instagram nae anaswitch off comments... anataka atumie 8000 tu eti ya usafiri.Usije ukajaribu hiyo ela kama huna kazi nayo naomba unitumie nkanywe juice..
Kama umekutana nao instagram jiulize kwann ana switch off comment
8000 yote hiyo? Mi nachaji 5000 tu.kumbe ushakutana nao ππ... kuna mmoja instagram nae anaswitch off comments... anataka atumie 8000 tu eti ya usafiri.
Na wewe ukampa hiyo ela? Fanya mpango na mimi unitumie nusu ya hiyo basi...kumbe ushakutana nao ππ... kuna mmoja instagram nae anaswitch off comments... anataka atumie 8000 tu eti ya usafiri.
Kijana unachangamkia fursa8000 yote hiyo? Mi nachaji 5000 tu.
Njoo pm.
Inategemea unataka kazi gani.Habari,
Katika mihangaiko yangu ya kutafuta ajira nimekutana na watu wanajiita mawakala wa ajira (kitu kama hicho).. yaani unawalipa na wanakuunganisha na ajira. Nimesikia kua hawa watu ni matapeli, je kuna walio wakweli? kuna mtu alishawai kutana nao na akapatiwa kweli kazi?
sijawai toa... ila ni kwasababu am broke... ningekua nayo mbona ningeshatapeliwa sanaaaaaNa wewe ukampa hiyo ela? Fanya mpango na mimi unitumie nusu ya hiyo basi...
Ana switch off coment uli waliwahi kutapeliwa wasicomment
Na wanabadilisha account zao kila siku
Haya naomba namba yakommmh... ππ nitafutie kwanza kazi utachukua mshahara wa kwanza
Una elimu ganimmmh... ππ nitafutie kwanza kazi utachukua mshahara wa kwanza
shahadaUna elimu gani