Wanaoulizia mishahara naamini ni wale walioko makazi so wanataka kulinganisha kabla hajatuma. Mtazamo wangu ni huo lakini sisi tuliomaliza mwaka huu unauliza mshahara hata kazi hujapata, pata kazi ukijadiliana mshahara ukiona haukutoshi piga chini.
Kuna watu ni wavivu wa kufikiri sana, kama unahitaji mshahara mkubwa waambie wazazi au ndugu zako wakuajiri! Au nenda corner bar au ambiasi ukapewe hela za kutosha na wanaume wa jiji!