Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,838
- 50,541
Huwa ni ccm wanageuzwa chadema halafu wajiondoe kurudi ccm mbinu za masaburi za kuvesha kundi la wahuni nguo za chadema halafu wakajifanya wamefunga tawi la cdm nonesenseHivi wanaojiunga na CCM ni kutoka CHADEMA peke yake watu wa kutoka vyama vingine hakuna. Ama hii ni dalili kwamba CCM inatishika na CHADEMA na ndiyo maana kwenye mikutano yao wanaona ni fahari sana kupokea wanachama toka CHADEMA?
Usiishi kwa kutegemea akili za mtu mwingine!!kwani mange kasemaje?
Huenda ndiye mentor wake, utajuaje!...Usiishi kwa kutegemea akili za mtu mwingine!!
Hivi wanaojiunga na CCM ni kutoka CHADEMA peke yake watu wa kutoka vyama vingine hakuna. Ama hii ni dalili kwamba CCM inatishika na CHADEMA na ndiyo maana kwenye mikutano yao wanaona ni fahari sana kupokea wanachama toka CHADEMA?
Mkuu kama ulikuwa hujui CCM wanaiogopa zaidi CDM kuliko munguHivi wanaojiunga na CCM ni kutoka CHADEMA peke yake watu wa kutoka vyama vingine hakuna. Ama hii ni dalili kwamba CCM inatishika na CHADEMA na ndiyo maana kwenye mikutano yao wanaona ni fahari sana kupokea wanachama toka CHADEMA?
Aisee bongo movie inaporomoka wewe uko kimya, nini hasa ndugu yangu kimekusibu?Huenda ndiye mentor wake, utajuaje!...
Ndo nani[emoji219]kwani mange kasemaje?
ndo tunamtegemea mange sasa ivi, hukumbuki hata mwenyekiti wetu mboye alimshukuru?Usiishi kwa kutegemea akili za mtu mwingine!!
Alimshukuru kwa kumchangishia Lissu hela za matibabu na siyo kusema anamtegemea yeye kwenye kufikiri!!ndo tunamtegemea mange sasa ivi, hukumbuki hata mwenyekiti wetu mboye alimshukuru?
Hata huyo waliompokea wanakuza zaidi uenyekiti wake wa CHADEMA Arusha kuliko u-ACT wake. Wewe unadhani Mwigamba kapokewa kwa shamrashamra kama wale madiwani ambao Polepole aliwaita "Vigogo" wa CHADEMA?Hivi kumbe yule Mwigamba ametoka CHADEMA na kuhamia CCM??
Chama gani hicho?ndo tunamtegemea mange sasa ivi, hukumbuki hata mwenyekiti wetu mboye alimshukuru?
kwani mange kasemaje?
Kuna kipindi walikuwa wakitoka CUF tu. Kisha hawaishi yaonyesha hivi vyama vina wanachama wengi sana hawamaliziki.Hivi wanaojiunga na CCM ni kutoka CHADEMA peke yake watu wa kutoka vyama vingine hakuna. Ama hii ni dalili kwamba CCM inatishika na CHADEMA na ndiyo maana kwenye mikutano yao wanaona ni fahari sana kupokea wanachama toka CHADEMA?
Ajabu ni hiyo. Wakati wa NCCR-Mageuzi ile ya Kina Mrema na Marando ilikuwa ni kutoka NCCR, ilipokuja CUF kuwa na nguvu mambo yakawa ni hivyo hivyo.Kuna kipindi walikuwa wakitoka CUF tu. Kisha hawaishi yaonyesha hivi vyama vina wanachama wengi sana hawamaliziki.
Dah, kama watu hawashauriki utafanyaje ndugu yangu?...Aisee bongo movie inaporomoka wewe uko kimya, nini hasa ndugu yangu kimekusibu?