Wanaotumia simu, kompyuta wapewa tahadhari

kiwenini

Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
73
Reaction score
43
Mkurugenzi wa kliniki ya macho ya Karibu Eye Center, Abdillah Dada amezungumzia athari zinazoweza kujitokeza kwa watumiaji wa vifaa vya mawasiliano ikiwamo kompyuta, simu, tableti.
 
Aache uwongo hakuna madhara yoyote yale kutumia simu au computer kwa muda mrefu. Ingekua yapo basi wengine yangeshatupata miaka mingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada na huyo mkurugenzi wake akili zao at per
 
Mkurugenzi wa kliniki ya macho ya Karibu Eye Center, Abdillah Dada amezungumzia athari zinazoweza kujitokeza kwa watumiaji wa vifaa vya mawasiliano ikiwamo kompyuta, simu, tableti.
Naona umetuandkia kwa kutumia ubao hutumiii kabisa hizo tajwa hapo juu. Hongera mkuu😂
 
Mkurugenzi wa kliniki ya macho ya Karibu Eye Center, Abdillah Dada amezungumzia athari zinazoweza kujitokeza kwa watumiaji wa vifaa vya mawasiliano ikiwamo kompyuta, simu, tableti.
UZI TAYARI
 
Back
Top Bottom