Leo Messi anatumia mmoja ila kamzidi mbali Ronaldo anayetumia yote miwili na kichwa juu
Messi kamzidi nini CR7 uwanjaniLeo Messi anatumia mmoja ila kamzidi mbali Ronaldo anayetumia yote miwili na kichwa juu
messi anatumia both. sema left ni strongLeo Messi anatumia mmoja ila kamzidi mbali Ronaldo anayetumia yote miwili na kichwa juu
Messi anacho mzidi Ronaldo ni kubebwa na FIFALeo Messi anatumia mmoja ila kamzidi mbali Ronaldo anayetumia yote miwili na kichwa juu
Nimekuja speed sijui niliwaza mtoa uzi anamaanisha nn kwenye title.Naomba kufahamishwa kuna wachezaji wao wanachezea miguu yote,akitaka kutoa pass au kupiga mpira siyo tabu,je hiyo miguu yote huwa ina uwezo sawa na nguvu?
Je kuna wachezaji bora zaidi wanaotumia mguu mmoja kuwazidi miguu miwili kiuwezo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliwaza tigo na Voda.
Kichwa kipi hicho make wanaume tuna vichwa viwiliLeo Messi anatumia mmoja ila kamzidi mbali Ronaldo anayetumia yote miwili na kichwa juu
Kama ni jukwaa la michezo sawa, ingekuwa lile jukwaa lingine mambo yangeshakuwa mengi.
Lakini naona manufaa zaidi kwa wanaotumia miguu ya kushoto, ni wepesi sana mfano odegard, saka, messi, azizi ki, roben, xhaka na wengineo.Wanaotumia mguu mmoja ni shida ,hebu angalia Aziz ki anavyohangaika kwa kulazimisha mpira uje upande wa kushoto ndipo afanye maamuzi
Chenye nywele juuKichwa kipi hicho make wanaume tuna vichwa viwili
Sasa kama kubebwa ni rahisi kwanini asibebwe yeyeMessi anacho mzidi Ronaldo ni kubebwa na FIFA
Uwe unasoma vizuri Acha kukurupuka au umelewamessi anatumia both. sema left ni strong
mwanadamu yeyote anayetumia kitu cha kushoto huwa ni bora kuliko wa kulia kwa asilimia kubwa.Naomba kufahamishwa kuna wachezaji wao wanachezea miguu yote,akitaka kutoa pass au kupiga mpira siyo tabu,je hiyo miguu yote huwa ina uwezo sawa na nguvu?
Je kuna wachezaji bora zaidi wanaotumia mguu mmoja kuwazidi miguu miwili kiuwezo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwanja gani unaouzungumzia wewe huu huu wenye nyasi!!!! Kama ni huu huu wa mpira nenda kapimwe akiliKamzidi nini
Messi kamzidi nini CR7 uwanjani
Nipo na wewe mkuumwanadamu yeyote anayetumia kitu cha kushoto huwa ni bora kuliko wa kulia kwa asilimia kubwa.
Messi anamzidi Ronaldo ufupiLeo Messi anatumia mmoja ila kamzidi mbali Ronaldo anayetumia yote miwili na kichwa juu