Kwa wale wanaotaka kusoma Finland, bado kuna vyuo amabvyo deadline zao hazijafika, lakini ni karibu.Kama unahitaji ku apply kuna link hizi za ku download application forms. Nenda http://www.bestlifeafrica.org/1994.html hapo utapata hizo link. Unashauriwa vilevile upitie website za vyuo hivyo ili upate habari zaidi.