Wanaotaji umeme wa solar hii inawahusu

Wanaotaji umeme wa solar hii inawahusu

mwagavumbi 11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,254
Reaction score
44
Tunatoa huduma za kuunganisha umeme wa mionzi ya jua/solar majumbani, maofisini, shule, msikiti, kanisa, mahotel, gest, hospitali, camp sight nk. Umeme una warant ya miaka 2, kwa upande wa nje ya dsm wakipatikana watu zaidi ya kundi la watu 7 na zaid tutawafungia kwa bei ya tsh 255000 kama umefanya wiring mwenyewe na tsh 350000 kama tutakufanyia wenyewe.

Tuna timu ya wataalamu ambao watatoa huduma na ushauri buree pindi watakapo kwepo eneo la kazi.

Tuwasiliane kwa 0785477684, 0768837437, 0716071185.

Barua pepe: graduates.young@gmail.com
 
"Huduma" mnayosema mtatoa "bure" ni ipi?

Hizo laki 2.55 au laki 3.5 zilizo kwenye tangazo bila shaka ni "labour charge" tu. Mteja atanunua solar panels, betri za kutosha, charger controll na inverter.

Tanzania tunahitaji sana kuweka solar power. Kutegemea Tanesco ni shida tupu. Kwa hivyo basi, wateja mtapata wengi sana kama mtatangaza vizuri na kwa uwazi wa gharama. I wish you success.
 
tuna toa huduma za kuunganisha umeme wa mionzi ya jua/solar majumbani,maofisini,shule,msikiti,kanisa,mahotel,gest,hospitali,camp sight nk..umeme una warant ya miaka 2, kwa upande wa nje ya dsm wakipatikana watu zaidi ya kundi la watu 7 na zaid tutawafungia kwa bei ya tsh 255000 kama umefanya wiring mwenyewe na tsh 350000 kama tutakufanyia wenyewe.tuna timu ya wataalamu ambao watatoa huduma na ushauri buree pindi watakapo kwepo eneo la kazi ..tuwasiliane kwa 0785477684,0768837437,0716071185..
Barua pepe: graduates.young@gmail.com

Gharama halisi kama Bwana Moshi alivyouliza zikoje eg solar panels, charger, battery na accessories nyinginezo
 
shukrani kwenu moshi na listener ni hivi gharama halisi ni laki 2 na hamsini na tano kama umefanya wiring mwenyewe na laki tatu na nusu kama haujafanya wiring,gharama tajwa itahusishwa labor charge pamoja na panel,charger controler,invetor,betry pamoja na taa,na huduma ambatanishi ni pamoja na ushauri namna yakutunza vifaa vyako pamoja na wapi upate bidhaa yoyote ya solar pindi utakapo itaji,ielewe kwamba teknologia hii ni ngeni hivyo inaitaji upate mtu sahihi.asanten?
 
Wajameni tuwatafuteni hawa watu ugomvi na mafisadi wa CCM walaaa. Kabla sijasahau. Huo umeme mkiniunganishia nitafaidi TV, FRIJI NA PASI?
 
Wajameni tuwatafuteni hawa watu ugomvi na mafisadi wa CCM walaaa. Kabla sijasahau. Huo umeme mkiniunganishia nitafaidi TV, FRIJI NA PASI?
ndio ila pasi itakulazim uzime vifaa vingine kama radio,fridge pindi unapotaka taka kupiga pasi,sababu ya kufanya hivi ni kutokana na pasi nyingi zinatumia w1000 pindi inapopata moto hivyo huu ni umeme mkubwa ambao utaathiri vfaa vingine visiwake..maelezo ni mengi wakuu ila atafaidi zaid mtu akiitaji afungiwe umeme.kwani unaokoa pesa nying mno pindi unapotumia solar
 
Hiyo huduma mnatoa mwisho lini maana nimejipanga mpaka ifikapo mwez wa 7 nahamia kwangu maeneo ya MBANDE ktk kachumba kamoja na 100% nitahitaji huo umemejua.
 
ni hivi gharama halisi ni laki 2 na hamsini na tano kama umefanya wiring mwenyewe na laki tatu na nusu kama haujafanya wiring,gharama tajwa itahusishwa labor charge pamoja na panel,charger controler,invetor,betry pamoja na taa

Bila shaka laki 3.5 hazitanunua panels, inverter na betri. Fungukeni zaidi maana ni kweli watu wanataka kuweka umeme wa jua. Waambieni watayarishe total budget kiasi gani.
 
Bila shaka laki 3.5 hazitanunua panels, inverter na betri. Fungukeni zaidi maana ni kweli watu wanataka kuweka umeme wa jua. Waambieni watayarishe total budget kiasi gani.

moshi,gharama nlizo taja ni fixed buadget kwa maana kwamba mteja hatatozwa gharama nyingine kwa umeme wa matumizi ya kawaida. Manunuzi ya vifaa vyote imejumuishwa ndani yake
 
Bei ni Nzuri,je inuwezo gani ,je kama vitu unavyo tumia ni vingi kunahitajika kuongeza uwezo wa hiyo solar power je itaghalimu kiasi gani?
 
Mimi nina umeme wa Tanesco ila nataka nitumie solar kwenye freezer na aircon gharama zikoje?
 
Mtoa mada hebu ainisha vyema gharama zako,haiingii akilini kwa laki 2 uweze kuniwekea umeme wa jua na kukidhi mahitaji ya nyumba.Vifaa kama Panel,Betri,charger,inverter n.k vinagharimu pesa nyingi kuliko ulizoainisha hapo juu.Hebu jaribu kutuambia kwa laki mbili nini hasa utakachofunga na kuwasha vifaa gani!isije kuwa kuwasha taa moja tu!
 
Jidu: afadhali umramua kuliweka wazi swala hili,na inawezekana hizo laki mbili ni installation charges za vifaa a part from wiring
 
Bei ni Nzuri,je inuwezo gani ,je kama vitu unavyo tumia ni vingi kunahitajika kuongeza uwezo wa hiyo solar power je itaghalimu kiasi gani?

uwezo wake ni wakusukuma tv,taa 5,radio na kuchaji simu,pindi ukitaka kuongeza uwezo itakughalim ununue tena kulingana na maitaj utakayo itaji mda huo
 
Bei ni Nzuri,je inuwezo gani ,je kama vitu unavyo tumia ni vingi kunahitajika kuongeza uwezo wa hiyo solar power je itaghalimu kiasi gani?

inauwezo wa kusukuma tv,radio,kuchaj sim,king'jmuz na deki, taa 5, na ukitaka kuongeza unaongeza kutokana na maitaj yako
 
Mtoa mada hebu ainisha vyema gharama zako,haiingii akilini kwa laki 2 uweze kuniwekea umeme wa jua na kukidhi mahitaji ya nyumba.Vifaa kama Panel,Betri,charger,inverter n.k vinagharimu pesa nyingi kuliko ulizoainisha hapo juu.Hebu jaribu kutuambia kwa laki mbili nini hasa utakachofunga na kuwasha vifaa gani!isije kuwa kuwasha taa moja tu!

kwa gharama hizo utaweza kutumia tv,radio,kingamuz,dek,utachaj sim na taa 5,sis hatuitaj faida kubwa kama upo dar nitafute kwa namba izo apo juu upate umeme wa uhakika
 
Tatizo la biashara za kitanzania usanii ni mwingi sana.
Nguvu ya solar inategemea na ukubwa wa panel(watts) na uimara wa betry.
Mfano panel watts 100
Betry N100(drycell
Inveter(300-500w
Charger controler 10Ams
Wire 1.5
Gharama yake haipungui laki 6.
Sasa nashanga nyinyi mnasema laki 2 na nusu.

Muhimu waambieni wateja wenu kwamba itawalazimu kununua vifaa vyote vinavyotumia mkondo wa DC.
Tv ya solar
Radio ya Solar
pasi ya solar n.k
 
makame,
kumbuka tanzania ipo kwenye mfumo wa soko hulia hivyo kila mtu anapanga bei kulingana na ghalama ya upatikanaji wa marighafi,binafsi izo ndizo bei zetu,endapo kama kuna maelekezo mengne tunamweleza bayana mteja.
 
Mimi nina umeme wa Tanesco ila nataka nitumie solar kwenye freezer na aircon gharama zikoje?

kwa ivyo vifaa pekee isipungue 2ml sabu friza na airco nyingi zina kula umeme na zinatumika wakati mwingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom