Wanaotafuna vitunguu swaumu kila siku tukutane hapa

FE2946E4-446F-4321-94D6-1153890F2329.jpeg

Mimi huwa nina namna mbili ya kuitumia, moja huwa nachanganya na asali mbichi na kuihifadhi kwenye jar. Naiacha kwa siku tatu ikiwa imefunikwa kabisa kisha baada ya hapo naanza kuitumia kwa kupata kijiko kimoja asubuhi na jioni.

Njia ya pili kama sina asali basi huwa natumia punje zake tatu, nazimenya na kuvikatakata vidogovidogo kisha namezea na maji lita moja kila usiku.

Faida zake naziona ndani ya mwili wangu. Kuumwa ni nadra. Homa nshazisahau, mafua na kifua navyo navisikia tu kuwa vipo kwa wengine. Inaimarisha kinga ya mwili, kusaidia ufanyaji kazi wa moyo na hata kupunguza madhara ya uzio (allergies) haswa ukiitumia na asali. Kitunguu swaumu na asali ni 'anti-bacterial' na 'anti-viral' za asili.

"Usipokula chakula kama dawa, basi utakuja kugeuza madawa kuwa chakula chako."

Nashukuru nilijifunza hili na kuanza kulitekeleza mapema. Kwenye moja ya video ya mtandao wa 'YouTube' nilipata elimu hii murua - "Mwili wa binadamu unaweza jitibu na kujiendesha wenyewe endapo ukiupatia vitu ambavyo mwili huo unavihitaji."
 
kwel kabisa chief
e9d267579ecd2e62d83840872f8be9e1.jpeg
 
Kitunguu swaumu kinatoa sumu mwilini na msaada mkubwa kwa watu wa high blood pressure.
Waliojenga pyramids za misri walitumia Kitunguu swaumu.
Kuzuiya harufu usitafune menya vipande vinne vikate mara nne kila kimoja.Tupia kwenye ulimi meza na maziwa mgando piga mswaki sugua ulimi na asubuhi pia hutanuka mdomo.
Harufu mbaya ya kitunguu swaumu ni sulphur na hydrogen sulphide.
Ukivimeza vitunguu Swaumu km vidonge ukienda haja kubwa unakuta vimetoka hivyo hivyo, nilikua nameza hivyo mwanzoni lkn nimeacha sasa hivi natafuna tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom