Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,101
Kutokana na vijana wengi kukupendelea mchezo wa punyeto imepelekea janga kwa wanaume wengi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu
Tiba dhabiti ya nguvu za kiume ni kupunguza punyeto najua kuacha kabisa ni ngumu unaweza ukafanya at least mara 1 kwa mwezi au wiki 3
Kitu cha pili chukua matunda haya karoti, ndizi, parachichi na tikiti changanya utengeneze juisi utakuwa unatumia asubuhi mchana na jioni pia unaweza ukatakata vipande vipande ukatumia hivyo ndani ya siku tatu hakikisha unapata maji lita Tatu utapona.
Dawa nyingine pia unayoweza kutumia ni asali na kufanya mazoezi