wanaoruka ukuta wanakaa wapi??

rahya

Member
Jul 13, 2012
5
0
Ilikua uwanja wataifa. Kulikua kunampira wasimba nayanga. Watu waliku wengi sana. Ila kunawatu walikua wapo nje hawana kiingilio nawanatamani kuingia ndani. Ndipo jamaa mmoja akaamua kujitosa akazunguka nyuma akaruka ukuta. Ile anatua tuu ndani anakutana uso kwa uso na polisi. Jamaa akaona imeshakua soo.akaona afanye kitu chakumsaidia. Kabla yule polisi hajamuuliza kitu yeakamfata haraka nakumnong'oneza "eti afande watu wanaoruka ukuta wanakaa wapi?" Polisi akabaki kazubaa tuu.
 
Unanikumbusha enzi hizo nilikuwa nasubiria fungulia mbwa kwa sababu nilikuwa muoga wa kuruka ukuta
 
Du kweli policcm tena anaweza kumfuata mwenzake na kumuuliza hawa watu wameandaliwa wapi pa kukaa
 
Atapata kirungu cha fasta kwa kumletea mcheso wa achabu riafande
 
Back
Top Bottom