Hauna haja ya kumjua Mungu kabsa wakati ata wewe mwenyewe haujijui Ni Nan ,! Ulikua wap kabla ya kuzaliwa , upo apa kwa dhumuni gani ! Unaenda wap baada ya haya maisha , unataka kumjua Mungu wakati wewe haujijui [emoji847]Kuna vitu ukifikiria hupati majibu kabisa mfano kumu judge Mungu
Haya Mambo ya kidini sio ya ukwel ndomaana yatakuja kupotea tu ukwel ujulikaneKuna Miungu ipatayo zaidi ya 5,000 inayoabudiwa hapa duniani
Wasioamini Mungu hawakubaliani na hiyo Miungu yote
Ila wewe unakubaliana na Mungu mmoja na kupinga Miungu 4,999
For the same reason umekuwa mkaidi kwa hiyo miungu na huwezi kuthibitisho hiyo miungu uliyoipinga kuwa haipo
Umesema wasioamini Mungu wanapinga mafundisho ya dini, well kauli hii itakuwa valid pale muislamu atapotuambia ni kiasi gani anakubalina na habari za roho mtakatifu, Mungu katika utatu, Yesu kuwa ndio njia ya pekee na uzima, Yesu kubatizwa nk. ambazo zimeelezwa kwenye dini ya kikristo
Kama nyinyi kwa nyinyi mnaoamini Mungu mnapinga mafundisho ya dini zingine, kwanini jambo hilo hilo likifanywa na mtu asiyeamini Mungu lichukuliwe katika uzito mkubwa?
Nimeona umenukuu aya za Quran hapo kua ndio uthibitisho wa kile ulichokiita muujiza, lakini kuna madai mangapi ya kimuujiza kwenye biblia unayapinga?
Kwanini uyapinge wakati yameitwa ni miujiza? So kumbe kitu kuitwa miujiza sio kigezo cha kyafanya yawe kweli au kukubaika, kwa fact hiyo kumbe hata wewe inawezekana hayo madai yako yakawa ya kizushi vile vile otherwise uje na vivid evidence inayopimika
Umemaliza kila kitu hawakudaiTuseme hata kitendo cha kumtoa mwanae wa pekee kafara ni ili apate nguvu ya kushindana na shetani. Ni kama mwanadamu anavyomtoa mwanae mpendwa msukule ili afanikiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida wote nyie mnaamini Mungu, vichekesho sasa kila kundi lina Mungu wake hapo ndio taabu inapo kujaWanaokana mungu huwa wanahoja mbalimbali katika kupinga uwepo wa mungu, pia huwa wanakosoa mafunzo ya dini ili kutilia mkazo zaidi katika hilo.
Lakini ukweli ni kwamba, sio kama hoja zao zinathibitisha kutokuwepo kwa mungu, hapana.
Bali hoja zao zinathibitisha kuwa wao ni wapingaji, hivyo hakuna andiko wala muujiza utakao wafanya waamini, sembuse hizi hoja ambazo huwa wanarumbana na watu Kila kukicha.
Na hivi ndivyo walivyo tangu enzi na enzi, hoja zao ni zilezile, na hata katika Quran, imeelezwa jinsi hawa watu walivyowakaidi.
Walipoonyeshwa miujiza waliita uchawi, maneno ya Mwenyezi Mungu waliyaita hadhithi za kutunga, mitume waliwaita wachawi, machizi n.k.(rejea; Quran 6:7,10:2,15:6, 46:17, 44:14, 40:56).
Na katika kudhihirisha zaidi ukaidi wao, walifikia hadi kusema kumwambia Mwenyezi Mungu, eti kama kweli hii (yaani yale aliyokujanayo mtume) ni haki kutoka kwako basi tuteremshie mawe kutoka mbinguni, au ututeremshie adhabu yenye kuumiza.(rejea; Quran 8:32).
Hii inaonyesha ni kiasi gani hawa watu ni wakaidi maana wangetaka kujua, wangeomba kuongozwa ila kwakuwa ni wakaidi wakaomba kuangamizwa.
Atakwambia thibitisha kama mungu yupo.
Sasa kama dalili alizoziweka mungu mwenyewe kuthibitisha uwepo wake hazijakukinaisha kuamini, unadhani hoja gani itakayokukinaisha.
Muktadha wa kupinga kwao ni kwamba mungu hayupo, hivyo hoja za kuthibitisha uwepo wake zote ni batili, lakini hata kama mungu yupo na hizi ndizo dalili alizoziweka kuthibitisha uwepo wake, basi ndio tayari wameshazipinga, maana hawakubalianinazo, hivyo ni wapingaji.
Kwahiyo tatizo sio ubora wa dawa ya sikio katika kutibu, bali tatizo ni kuwa hili ni sikio la kufa, hivyo halisikii dawa.
Ok, japo mimi sijasema kuwa kunamiungu 5000, ila nakubaliana na wewe 100% kuwa hiyo miungu 4,999 haipo,sasa sijui tunabishana nini hapo.Kuna Miungu ipatayo zaidi ya 5,000 inayoabudiwa hapa duniani
Wasioamini Mungu hawakubaliani na hiyo Miungu yote
Ila wewe unakubaliana na Mungu mmoja na kupinga Miungu 4,999
For the same reason umekuwa mkaidi kwa hiyo miungu na huwezi kuthibitisho hiyo miungu uliyoipinga kuwa haipo
Umesema wasioamini Mungu wanapinga mafundisho ya dini, well kauli hii itakuwa valid pale muislamu atapotuambia ni kiasi gani anakubalina na habari za roho mtakatifu, Mungu katika utatu, Yesu kuwa ndio njia ya pekee na uzima, Yesu kubatizwa nk. ambazo zimeelezwa kwenye dini ya kikristo
Kama nyinyi kwa nyinyi mnaoamini Mungu mnapinga mafundisho ya dini zingine, kwanini jambo hilo hilo likifanywa na mtu asiyeamini Mungu lichukuliwe katika uzito mkubwa?
Nimeona umenukuu aya za Quran hapo kua ndio uthibitisho wa kile ulichokiita muujiza, lakini kuna madai mangapi ya kimuujiza kwenye biblia unayapinga?
Kwanini uyapinge wakati yameitwa ni miujiza? So kumbe kitu kuitwa miujiza sio kigezo cha kyafanya yawe kweli au kukubaika, kwa fact hiyo kumbe hata wewe inawezekana hayo madai yako yakawa ya kizushi vile vile otherwise uje na vivid evidence inayopimika
Mkuu, haijalishi kuhusu idadi ya miungu, imani ya mtu kuamini kuwa Mungu Muumbaji yupo ama hayupo, ama hata juu utofauti wa imani za watu za kidini kuhusu miungu wanayoiamini na kuitumikia, bali kinachojalisha ni jina lako kuandikwa katika kitabu cha uzima.Kuna Miungu ipatayo zaidi ya 5,000 inayoabudiwa hapa duniani
Wasioamini Mungu hawakubaliani na hiyo Miungu yote
Ila wewe unakubaliana na Mungu mmoja na kupinga Miungu 4,999
For the same reason umekuwa mkaidi kwa hiyo miungu na huwezi kuthibitisho hiyo miungu uliyoipinga kuwa haipo
Umesema wasioamini Mungu wanapinga mafundisho ya dini, well kauli hii itakuwa valid pale muislamu atapotuambia ni kiasi gani anakubalina na habari za roho mtakatifu, Mungu katika utatu, Yesu kuwa ndio njia ya pekee na uzima, Yesu kubatizwa nk. ambazo zimeelezwa kwenye dini ya kikristo
Kama nyinyi kwa nyinyi mnaoamini Mungu mnapinga mafundisho ya dini zingine, kwanini jambo hilo hilo likifanywa na mtu asiyeamini Mungu lichukuliwe katika uzito mkubwa?
Nimeona umenukuu aya za Quran hapo kua ndio uthibitisho wa kile ulichokiita muujiza, lakini kuna madai mangapi ya kimuujiza kwenye biblia unayapinga?
Kwanini uyapinge wakati yameitwa ni miujiza? So kumbe kitu kuitwa miujiza sio kigezo cha kyafanya yawe kweli au kukubaika, kwa fact hiyo kumbe hata wewe inawezekana hayo madai yako yakawa ya kizushi vile vile otherwise uje na vivid evidence inayopimika
Hakuna ubishiOk, japo mimi sijasema kuwa kunamiungu 5000, ila nakubaliana na wewe 100% kuwa hiyo miungu 4,999 haipo,sasa sijui tunabishana nini hapo.
Au unataka mimi nithibitishe kutokuwepo kwa hao miungu wakati hata wewe unakubali kuwa haipo?
Kuhusu wanayoyaamini wakristo sijui unataka niseme nini wakati mimi ni muislamu na unajua kabisa siyaamini hayo na yamebainishwa katika Quran.
Halafu njoo na hoja zako maana wewe sio mkristo na wala huamini katika hiyo miungu 4999.
Hebu jikite kwenye mada kama huoni kuna hoja ya kujibu, unaweza kuichukua kama somo maana linaelezea watu wa aina yako.
Usinipe nukuu za kwenye biblia wakati huna uhakika na authenticity ya hicho kitabuMkuu, haijalishi kuhusu idadi ya miungu, imani ya mtu kuamini kuwa Mungu Muumbaji yupo ama hayupo, ama hata juu utofauti wa imani za watu za kidini kuhusu miungu wanayoiamini na kuitumikia, bali kinachojalisha ni jina lako kuandikwa katika kitabu cha uzima.
Ni lazima ukweli ujulikane wazi kuwa mtu yeyote yule ambaye jina lake halijaandikwa katika kitabu cha uzima atakutana na hasara yake mwenyewe, kwa kuwa hukumu yake itakuwa ni ya aibu ya mauti ya milele. Nukuu ifuatayo ya maandiko inaweza kututafakarisha zaidi;
UFUNUO 13
8 Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu (Shetani), kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo, aliyechinjwa, tangu kuwekwa misingi ya dunia.
9 Mtu akiwa na sikio na asikie.
Kwa hiyo basi, maandiko hayaangalii wala kubagua kuhusu imani ama dini ya mtu. Maandiko yatuasa kuwa na mahusiano mema watu wengine, na pia yule aliyekuumba. Nukuu ya maandiko hutupa picha kuhusu jambo hili;
UFUNUO 6
9 Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa tano. Nikaona pale chini ya madhabahu ya kufukizia ubani roho za wale waliouawa kwa sababu ya ujumbe wa Mungu, na kwa sababu ya ushuhuda waliokuwa nao.
Kwa muktadha huo basi,
1. Wale wenye ujumbe wa Mungu ni wale wanaoamini na kuishika kwa dhati pamoja na kuitii imani yake ya kweli aliyowajalia kuitambua
2. Wale wenye ushuhuda ni wale ambao matendo na dhamiri zao zitawafanya wahesabiwe kuwa ni wenye haki.