Yani mtu kama wewe sijui nikutukane tusi la kikabila gani,lakini pokea matusi ya lugha zote za AfricaHili ni swali fikirishi
Iwapo utagundua ndugu yako wa karibu,ni shoga je utaachukua hatua gani?Iwapo utajigundua kuwa wewe mwenyewe ni Homosexual utachukua hatua gani?
Kuna wanaopiga vita ushoga ilhali hawajawahi kuwaona mashoga,kuna ambao wamewahi kuwaona na kuzungumza nao na wanaelewa msingi wa hoja.
Kwa nilichokionawanaopiga vita ushoga kwa ndani wanaunga mkono hii tabia ila hawana ujasiri wa kuitetea mbele ya jamii.ni ndumila kuwili ambao mchana wanapinga na usiku wanaunga mkono.
Sioni sababu ya kuwanyanyasa ndugu zetu hawa huku tukijua kuwa tunafanya unafiki wa wazi
Tuwaelewa kabla ya kuwahukumu.
#stophomophobia #noprostitution
[emoji41]Hili ni swali fikirishi
Iwapo utagundua ndugu yako wa karibu,ni shoga je utaachukua hatua gani?Iwapo utajigundua kuwa wewe mwenyewe ni Homosexual utachukua hatua gani?
Kuna wanaopiga vita ushoga ilhali hawajawahi kuwaona mashoga,kuna ambao wamewahi kuwaona na kuzungumza nao na wanaelewa msingi wa hoja.
Kwa nilichokionawanaopiga vita ushoga kwa ndani wanaunga mkono hii tabia ila hawana ujasiri wa kuitetea mbele ya jamii.ni ndumila kuwili ambao mchana wanapinga na usiku wanaunga mkono.
Sioni sababu ya kuwanyanyasa ndugu zetu hawa huku tukijua kuwa tunafanya unafiki wa wazi
Je Tuwaelewe kabla ya kuwahukumu?
#stophomophobia #noprostitution
Mwehu hujitambui.Hili ni swali fikirishi

Kosa lao kubwa la watu wa Sodoma na Gomora ni kuwazingira malaika na kutaka kuwafanyia huo mchezo wakijua kuwa wale ni wanawali. Kitendo kile kiliwaudhi wao kwanza na kuwapofusha macho wote muda ule ule wote waliokua wamewazingira.Pumbavu. Sodoma na Gomora bado hamjajifunza. JF inapotea taratibu.
Hakuna kitu kizuri kama malezi...mtoto akilelewa kwenye mazingira ya kujua kuwa ushoga ni kitu kibaya na Mungu hapedi cdhan kama atafanya...lazima atakuwa na hofu moyoni ata kama ana hisia hizonimemwelewa mtoa Mada. Pamoja na kukasirishwa na hii tabia tusiache kujifikirisha. usiombe mtoto wako azaliwe shoga(with females hormones driving him toward homosexual) hapo ndipo utamwelewa mtoa mada
Uhuru wa mawazo,, hata kama yupo negative,,Pumbavu. Sodoma na Gomora bado hamjajifunza. JF inapotea taratibu.
Chichidodo...ndumilakuwili.. using'ate na kupuliza af kuwa na msimamo...et mi sipendi ushoga af tena m siwezi kumchukia shoga...huo ni unaaa...huez chukia jambo af ukampenda anaelifanyaunafki mtupu ....kila mtu atahukumiwa kivyake kwanini umhukumu mwenzako mnasema ushoga haujarusiwa kwenye bibilia au dini ya aina yeyote je nyie hamfanyi dhambi ...mimi sipendi ushoga ila kwanini nimchukie binadamu mwenzangu kisa maamuzi yake sina mda wa chuki aisee .....afterall ni sheria tu ndo bado ila mtaaani wamejaaa kama nini the more tunavyoliongelea ndo tunalichochea kila mtu akae na mwanae amweleshe sababu kwanzia mashuleni wapo ....mda unaenda things change
nakubaliana nawe kwa mtu anaye fanya ushoga kwa influence ya utandawazi, tamaa ya fedha nk. lakini kundi kubwa la hawa watu wako hormonal driven. kumbuka hapo katajwa hata mtumishi wa Mungu.Hakuna kitu kizuri kama malezi...mtoto akilelewa kwenye mazingira ya kujua kuwa ushoga ni kitu kibaya na Mungu hapedi cdhan kama atafanya...lazima atakuwa na hofu moyoni ata kama ana hisia hizo