Wanaopinga Serikali 3, Je, Marekani Wanafanyaje?

Wanaopinga Serikali 3, Je, Marekani Wanafanyaje?

Mautino

Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
42
Reaction score
22
Kuna tatizo moja ambalo tunalo sisi Watanzania, akili zetu zinaganda sana kiasi kwamba hatuwezi kupanua mawazo yetu kujifunza kwa wenzetu. Hivi, wanaoogopa serikali tatu, hawajiulizi nchi kama Marekani yenye serikali karibia 50 wanafanyaje?

Isitoshe, mbona sasa hivi kuna serikali zaidi ya mbili ndani ya Tanzania? Kuna serikali ya Muungano, serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kuna serikali za mikoa, wilaya, kata, vijiji, n.k?

Au hatujui tafsiri sahihi ya neno serikali?

Kama tunaongelea nchi -- hapo sawa, Zanzibar wameshatuingiza mkenge kiasi kwamba siyo tu serikali, bali nchi ya Tanganyika lazima irudi.
 
Back
Top Bottom