Wanaopata shida kuhusu Wanawake kutokuolewa ni Wanaume, kwa nini?

Narudia tena, tunawashauri kwa sababu ni Dada zetu, ni ndugu zetu ni rafiki zetu na tunawajali.

Unapoona mtu unaemjali mambo yanamuendea ndivyo sivyo, huna budi kumshauri. Either ameomba kushauriwa au hajaomba!

Kutoa ushauri kwa wale unaowajali ni wajibu!
Ni wajibu ikiwa una uhakika kabisa wanahitaji au wamekuomba ushauri.

Si bure wao wana amani na usingle maza wao na hawahitaji kuolewa.

Kama hawaihitaji ushauri ukawashauri au wengine wakawaponda inatafsiriwa tu kuwa ni Kiherehere.

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa factual kwenye swali lako ningekujibu lakini swali lako halina fact, rudi kwanza kusoma comment yangu utapata jib, staki usumbufu,
Bado unaweweseka badala ya kujibu swali langu.

Single mothers wanakuathiri vipi wewe?

Leave away the concept of being factual....ans my qn kwnz.
 
Wanaofatilia wanawake hawako bussy na maisha yao kufatilia yasio wahusu utadhani wanawalisha wao badala ya kupambana na hali zao
 
Ni wajibu ikiwa una uhakika kabisa wanahitaji au wamekuomba ushauri.

Si bure wao wana amani na usingle maza wao na hawahitaji kuolewa.

Kama hawaihitaji ushauri ukawashauri au wengine wakawaponda inatafsiriwa tu kuwa ni Kiherehere.

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
Please don't get me wrong, hapa tunawaongelea senior bachelors sio single mothers!

Siku hizi kuna hadi single mothers wa miaka 18.

Then kuna kitu kinaitwa wajibu, wajibu ni lazima utimizwe iwe unapenda au haupendi!

Sasa kama nina wajibu wa kumshauri dadaangu ambae ni senior bachelor, nitamshauri tu iwe anapenda au hapendi!

Truth has to be told!
 
Wanatuathiri mtaani na Tania yao ya kupenda vi Ben 10, na hapa atuongelei single mothers, single mom ni mtu ambaye alikuwa na mume wakapata watoto na mme wake labda akafariki akabaki mjane au alipewa talaka etc, binafsi sina tatizo na single mothers, anaangaikia wanae wapate malezi bora, hawa ambao hajawahi kuwa na mume japo umri wao unaruhusu ndo wanaotuchukua sisi vi Ben 10, ndo wanacho nikera, nimekujibu vizuri sana, sitegemei usumbufu tena,
Unakosea, Mimi sijakuletea usumbufu nimekuletea Swali.

Ikiwa wanakusumbua wewe na kukuita Kiben 10 basi hapo umejibu swali kwamba

"wanakuathiri kwa kukuita kibenten"

Lakini mimi naamini sio single mothers wote wana tabia hiyo...kwahiyo ni vizuri kutumia neno "Baadhi"

 
Kabla hujauliza wengine jiulize kwa nini Me ndo mada kama hii badala ya hao Ke jibu utakalopata ndo hilo hilo jibu la mada yako
 
Back
Top Bottom