Yanasumbua sana mfano jana Tazara nashangaa watu wanahama upande tuu kufika mbele kumbe gari la jeshi linapira sehemu sio yake yani ni rahisi sana kusababisha ajali, mfano msafara wa yule mkuu wao wa jeshi wenyewe hua unaingia upande wa tofauti mida ya 1 na 30 asubuhi sasa kwanini asiamke saa 12 asubuhi awahi huko kazini kama ni muhimuHivi haya magari ya jeshi hapa Dar yanafika 50? maana kila siku malalamiko juu ya magari ya kijeshi
Hakunaga watu wasumbufu barabarani kama watu wenye vigari vidogo kama vipasso, viist na Suzuki etc hawajali kabisa taratibu za usalama barabarani sometime wanaendesha wakiwa wanachat, na kuhama lane mara kwa MaraKwanza ni magari ya majeshi haya hayafuati taratibu kabisaaa njia ya kwenda yanarudi yenyewe kila mda eana haraka kama wanaharaka si wangeanza safari mapema zaidi wanaboa maana huwa wanalela folen zisizo na faida hapa naongelea polisi uhamiaji fire
Magari ya serikali haya SU stk stl DFPA na magari ya mawaziri mpaka wakuu wa wilaya nao huwa hivo hivo sheria wao za barabarani kama
Haziwahusu
Gari za wagonjwa ambulance hawa nao hata kama hawana wagonjwa utasikia wamewasha king'ora now nashangaa ambulance inatoka dar inaenda bagamoyo imewasha king'ora na hiyo gari ni ya bagamoyo
Daladala na na wenye vigari vya kubebea mizigo kama suzuki carry hawa nao sheria huwa haziwahusu kabsa ndio wanaongoza kutozwa zile 30,000
Bodaboda hawa huwa wanashangaza sana wenyewe sheria hawafuati kabisaa na barabaran unakuta wamejitanua katikati ya barabara yaani kwa akili zao wanaamini kabisa serikali imejenga lami ili bodaboda zipite
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha banaHakunaga watu wasumbufu barabarani kama watu wenye vigari vidogo kama vipasso, viist na Suzuki etc hawajali kabisa taratibu za usalama barabarani sometime wanaendesha wakiwa wanachat, na kuhama lane mara kwa Mara
Tabu tupu
Sidhani kama umesoma kilichoandikwa na umejibu utumbo kabisa! soma uelewe acha kukurupuka kama uharo!Sasa wewe unataka watu wasiendeshe magar mtembee tu waenda kwa miguu