Wanaonyonyesha watoto hii ni Sawa?

si sawa ila kinamama wa dot com wafanyaje sasa bila kuwa artificial awezi kutoka... mtoto nae hapa ananyonya artificial its okey..
 
Kwa Hao watu weupe ni sawa ila kwetu waafrica ni majangaa...Sio powaaa kutoaaa titi mbele za watu
 
Hatupaswi kuiga kila kitu vingine majanga lakini kuna baadhi ya dada zetu wanaweza Kuna ni fashion
 
Ukiachana tuu na kulifanya hilo titi lake kuwa la maonyesho bado kiafya ni hatar kwa huyo mtoto hapo maana harufu ya hizo rangi za kucha + manywele hayo mtoto si atakuwa anayanyonya jamani ptuuuuuuuuuuuu!!! Fashion nipitie mbali mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…