Wanaoishabikia CCM


 
Hata mimi nimegundua wanaomshabikia sawalo kundi kubwa ni wale walifeli maisha yaani kabavi na walalahoi kama wale waliomuingiza Adolf Hitler madarakani

Magufuli mwisho mlangoniiii...
Lowasaaaaaaa vunja kofuli ng'oa kitasa ingia ndani mwaga pombee.
Tukutane oct25
 
Sasa hivi tunataka mtu anayeongea kidogo tu ila ni mtendaji zaidi.Viongozi wote waliojua kujenga hoja wameifanyia nini nchi hii cha maana hadi kufikia leo?Tatizo la mgao wa umeme duniani umebaki Tanzania tu.

Wamezoea sera za uongo
 
Hahahaaaa! Nimeipenda hiyo, wanatanua vidole badala ya kutanua akili, huo muunganiko wao wa gest ndio wanaotaka waunde nao serikali? Serikali ya aina gani hiyo!! Wao wenyewe hawana uhakika na wanachokishabikia alafu wanataka kuendesha nchi!!

 

Umasikini hupunguzwa tu hauishi! Hata america imeshindwa kuondoa umasikini pamoja na kuchota rasilimali za wenzao seuse tz, so tulieni umasikini unazidi kupunguzwa, haraka haraka haina baraka, huko kukurupuka kwenu mkauzwe wenyewe sisi hatuuziki wala kununulika.
 

ccm out...
Ukawa in.
Oct 25
 
Sijui wanatumia kegezo gani kujua wanaakili kuliko wengine siasa zimeingiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…