Wanaoishabikia CCM

kama kuna mwanafunzi alijiandikishiaga chuoni na wakati wa kupiga kura atakuwa kwao aende kwa mkurugenzi au ofisi ya kata/wilaya wambadilishie taarifa zake ili aweze kupiga kura sehemu aliyopo:- sambaza ujumbe huu kwa wanafunzi wa chuo na rafiki zako kwenye magroup. Wakati wa mabadiliko ni sasa
 
hawa ndo hawo wanoweka foleni hawana akili
 
Attachments

  • 1442825245898.jpg
    49.3 KB · Views: 992
hii ndo ccm wanapaki barabarani wanajibu jeuri wakuu niasidie hii ni ya kiongozi gani imepaki bararani mda huu na driver mjeuri kweli amesababisha foleni kwa mno
 
Mkuu si nasikia uraisi unapiga tuh ila ubunge haupigi? Au ukienda huko kwa mkurugenzi ndio unachagua hadi madiwani?
 
hii ndo ccm wanapaki barabarani wanajibu jeuri wakuu niasidie hii ni ya kiongozi gani imepaki bararani mda huu na driver mjeuri kweli amesababisha foleni kwa mno

hawa ndo hawo wanoweka foleni hawana akili

Yanazidi kutupa sababu ya kutoichagui iingie ikulu
 
Mkuu si nasikia uraisi unapiga tuh ila ubunge haupigi? Au ukienda huko kwa mkurugenzi ndio unachagua hadi madiwani?

Changamka hata kura ya urais hutopiga .. Kabadili taarifa
 
sawa mkuu tujitahidi kusambaza huu ujumbe kadri inavyowezekana
 
Last edited by a moderator:
Usicheke wenzetu wapo empty

Ninachocheka mbali na u empty huo ni kuwa vina vuja kwakuwa hata wajazwe mambo kesho wanasahau.
Kuna wimbo mmoja wa Mchinga Sound enzi hizo unaitwa Kichwa cha panzi.
 
maisha yamekuwa rahisi sana siku izi maana ukiishabikia UKAWA tu automatical unajiona una akili hata uwe na dv 5

Chagua lowasa
 
Attachments

  • 1442831557487.jpg
    13.4 KB · Views: 328
Lowassa na Sumaye wenye kila kitu wametoka ccm wewe hohehahe,mlala hoi,choka mbaya unasubiri nini huko ccm?
 
Yaani nyie hangaikeni tu, ila hata maiti yangu haiwezi kuipigia kura ukawa.

Hahahaaaa unapoteza kura yako bure kuipigia fisiemu.
Ila wew ni sister wangu hahagaa usinichambe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…