Wanaoiponda IFM ni wendawazimu!

chamng

Member
Aug 21, 2012
30
10
IFM ina miaka 40 tokea ianzishwe na ilianzishwa na NBC kwa madhumuni ya kuwapata bankers wakushka nafasi mbalimbali ndan ya different institutions Hapa nchin!!! Mpaka sasa chuo kina wahitimu weng walioko BOT.TRA na bank kibao
kwa wale wte mliochaguliwa hapo msiogope majungu ya watu kwan mti mwenye matunda ndio ulengwao mawe
pia ukisoma IFM kupata CPA ni rahis zaid
kwa mabaya sasa IFM kina madada du na masharo kibao lakin hilo c jambo la msing cha muhimu ujitambue tu unayeenda kusoma pale.
 
Kichwa cha habari cha uzi wako kina utata, ni kama unajihami vile! Kubali kukosolewa ili uendelee, chuo kinaweza kuwa kimeanza jmwaka juzi kikafanya vizuri kuzidi kile kilichoanzishwa maika 100 iliyopita. Hoja ni kiwango gani IFM inacho leo na wala si miaka iliyopita.
 
mboni wewe unaonekana kuizodoa maduu ndio unaona ubaya aisee umekuja kuwaje wewe hapa town shule ikiwa ngumu unacheki na maduu kiaina unafikiri muhas hapo au engineering (coet) pale ni town bana totoz ni muhimu kuwepo..
 
Katika vyuo ambavyo nina clear evidence ya wanafunzi kupasishwa kwa rushwa ya hela na ngono ni IFM. Wanafunzi wote ninaofahamiana nao waliopio pale ambao walishakamatwa, wametoa rushwa ya hela na ngono kufanikiwa! Mchumba wangu kalazimishwa na mwalimu wake atoe ngono afaulishwe masomo mawili, akizingua anafelishwa. Akatoa tukaachana. IFM sio chuo kile.
 
Anaeponda atakuwa bado na utoto aliotoka nao advance. Hebu aende akacheze sasa icho anachokisifia, suala ni kukaza na kujielewa tu. Kila chuo kinatoa watu wazuri(academically) mbona.
-huo ndo ukweli na mimi sisomi IFM-
 
Kichwa cha habari cha uzi wako kina utata, ni kama unajihami vile! Kubali kukosolewa ili uendelee, chuo kinaweza kuwa kimeanza jmwaka juzi kikafanya vizuri kuzidi kile kilichoanzishwa maika 100 iliyopita. Hoja ni kiwango gani IFM inacho leo na wala si miaka iliyopita.

mboni wewe unaonekana kuizodoa maduu ndio unaona ubaya aisee umekuja kuwaje wewe hapa town shule ikiwa ngumu unacheki na maduu kiaina unafikiri muhas hapo au engineering (coet) pale ni town bana totoz ni muhimu kuwepo..

Naona umeamua kujifariji!

inaonekana hakijui ndio maana..

Ifm sio chuo ni taasisi kwa hiyo hamna hoja

Katika vyuo ambavyo nina clear evidence ya wanafunzi kupasishwa kwa rushwa ya hela na ngono ni IFM. Wanafunzi wote ninaofahamiana nao waliopio pale ambao walishakamatwa, wametoa rushwa ya hela na ngono kufanikiwa! Mchumba wangu kalazimishwa na mwalimu wake atoe ngono afaulishwe masomo mawili, akizingua anafelishwa. Akatoa tukaachana. IFM sio chuo kile.

Mwoneeni huruma jamani. hebu angalieni mpaka ameamua kunzisha ID nyingine mpya ili atoe dukuduku lake. Post ya kwanza hata kamba miguuni hana? LOL

user-online.png
chamng

Today 15:02
#1
Junior MemberArray

Join Date : 21st August 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

[h=2][/h]
 
Katika vyuo ambavyo nina clear evidence ya wanafunzi kupasishwa kwa rushwa ya hela na ngono ni IFM. Wanafunzi wote ninaofahamiana nao waliopio pale ambao walishakamatwa, wametoa rushwa ya hela na ngono kufanikiwa! Mchumba wangu kalazimishwa na mwalimu wake atoe ngono afaulishwe masomo mawili, akizingua anafelishwa. Akatoa tukaachana. IFM sio chuo kile.

haya mambo yapo vyuo vingi sana. Bado mtu anaweza ku perform fresh tu kama anajua kilichompeleka.
 
Katika vyuo ambavyo nina clear evidence ya wanafunzi kupasishwa kwa rushwa ya hela na ngono ni IFM. Wanafunzi wote ninaofahamiana nao waliopio pale ambao walishakamatwa, wametoa rushwa ya hela na ngono kufanikiwa! Mchumba wangu kalazimishwa na mwalimu wake atoe ngono afaulishwe masomo mawili, akizingua anafelishwa. Akatoa tukaachana. IFM sio chuo kile.

How did you get the evidence that she offered herslf to be passed. Your contention is doubtful!
 
Anaeponda atakuwa bado na utoto aliotoka nao advance. Hebu aende akacheze sasa icho anachokisifia, suala ni kukaza kujielewa tu. Kila chuo kinatoa watu wazuri(academically) mbona.
-huo ndo ukweli na mimi sisomi IFM-

Hapo kwenye RED; ingekuwa ndivyo hivyo basi kusingekuwa na haja ya kozi au vyuo kuwa accredited na mamlaka husika!
 
kwenda chuo flani ni suala moja, na kuperfom vizuri ni jingine! Turudi kwenye mada... Wanaoiponda IFM ni wendawazimu.
 
IFM ina miaka 40 tokea ianzishwe na ilianzishwa na NBC kwa madhumuni ya kuwapata bankers wakushka nafasi mbalimbali ndan ya different institutions Hapa nchin!!! Mpaka sasa chuo kina wahitimu weng walioko BOT.TRA na bank kibao
kwa wale wte mliochaguliwa hapo msiogope majungu ya watu kwan mti mwenye matunda ndio ulengwao mawe
pia ukisoma IFM kupata CPA ni rahis zaid
kwa mabaya sasa IFM kina madada du na masharo kibao lakin hilo c jambo la msing cha muhimu ujitambue tu unayeenda kusoma pale.
hahahhahahahaha KARIBU JF.....
 
Ni bonge la chuo unapoilinganisha IFM na chuo kipi? VETA, TIA, CBE, UDSM, SUA, Mzumbe au Havard?
Mtu kama wewe ndio wale wanaoenda chuo ukitegema kitakusaidia kila kitu. Kumbuka juhudi zako ndo kila kitu, futa izo ideas kichwani kuwa chuo kitakubeba.
 
Back
Top Bottom