Ipo wilaya ya Rungwe ni njiani kabisa kwa barabara ya Mbeya Tukuyu kama km 30 hivi toka mbeya ni kama nusu saa toka mbeya. Ila jiandae kwa baridi na usisahau sweta Zito
Mimi ni mwalimu nshawahi kuwa mlm wa pale ni shule nzuri mazingira saafi na inapatikana mita 500 tu toKa barabara kuu iendayo malawi. Ila tu nilihama pale sababu ya baridi kwa miezi yoote ya mwaka
Msaada jaman nina d 4 englsh histry biology na kiswahil naweza kusomea clinical officer certificate..msaada jamn au course yyte yenye uhakika wa ajira naomba ushaur na mazingira ya chuo yawe kaskazin
Msaada jaman nina d 4 englsh histry biology na kiswahil naweza kusomea clinical officer certificate..msaada jamn au course yyte yenye uhakika wa ajira naomba ushaur na mazingira ya chuo yawe kaskazin
HUWEZI KUSOMEA HIYO COURSE tafuta tu issue nyngne hata nursing wanataka D flat kwenye physics, chemistry na biology nowdays ukiacha hayo masomo usiwaze kabisa kuhusu afya