Wanaohitaji Xiaomi smartphones global version

DX2018

Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
55
Reaction score
45
Niaje..
Wale wanaotaka Xiaomi smartphone ninazo redm 7 Global pic 19.

Bei ni 380000 sealed box . New

Specifications read here Xiaomi Redmi 7 - Full phone specifications

Ukiihitaji ni Pm .

Na kama unataka aina nyingine pia nicheki kuagizia mzigo ni siku moja kesho kutwa yake unapata simu yako.

Hakuna haja ya kusubiria mwezi mzima, siku moja au mbili ya tatu unakuwa na simu yako mkononi.

NOTE SIMU NI SEALED GLOBAL OG

IMG_20191102_130003.jpeg
 
Utauza sana, kuna mwenzako humu alikuwa akiuza laki 580k, ni GB ngapi?

Tofouti ya china version na global version ni ipi?
 
Ni matter of choice kama unaona ni bei sana basi weee nenda AliExpress agiza kitulize mwez au siku zako 28

Easy...wala usipoteze time kuleta ubishan

Business ni choice
 
Utauza sana, kuna mwenzako humu alikuwa akiuza laki 580k, ni GB ngapi?

Tofouti ya china version na global version ni ipi?
Ni gb 32 , ram 3gb

Utofauti zote ni sawa ila zinatofaitiana kwenye ROM . China comes with china ROM na global inakuja na global ROM. Ila unaweza weka global version kwenye chinese version ila sasa wengi tunakimbia china kwasabb ya sakata la google unaweza chukua chinese one ukakosa baadhi ya service za google .

Better to choose global maana ina features nyingi kulingana na nchi utokayo
 
Nitakutafuta Mkuu
 
Mkuu una rangi nyeupe hapo nijilipue
 
Vp xiaomi redmi note 8/redmi note 8 ya gb64 na ram gb4 nitaipata kwa bei gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom