mpitanjia2005 Member Joined Jul 27, 2013 Posts 40 Reaction score 5 Nov 26, 2013 #1 Kwa wale wanaohitaji Oil Filter za Toyota Passo, pls PM me or nijulishe hapa. Bei ni 15,000 Tshs.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,649 Reaction score 7,133 Nov 26, 2013 #2 Nnataka 2 nipo Dar
mpitanjia2005 Member Joined Jul 27, 2013 Posts 40 Reaction score 5 Nov 27, 2013 Thread starter #3 Chipukizi, Unapatikana Dar Sehemu gani? unaweza kuletewa Mzigo mpaka sehemu ulipo, au ukatucheki ofisi zetu zipo Lumumba. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Chipukizi, Unapatikana Dar Sehemu gani? unaweza kuletewa Mzigo mpaka sehemu ulipo, au ukatucheki ofisi zetu zipo Lumumba.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,550 Nov 27, 2013 #4 mpitanjia2005 said: Chipukizi, Unapatikana Dar Sehemu gani? unaweza kuletewa Mzigo mpaka sehemu ulipo, au ukatucheki ofisi zetu zipo Lumumba. Click to expand... Sijui kwa nini kila nikiskia hilo jina kwenye bold napata hasira.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mpitanjia2005 said: Chipukizi, Unapatikana Dar Sehemu gani? unaweza kuletewa Mzigo mpaka sehemu ulipo, au ukatucheki ofisi zetu zipo Lumumba. Click to expand... Sijui kwa nini kila nikiskia hilo jina kwenye bold napata hasira..
Kiteitei JF-Expert Member Joined Jan 14, 2009 Posts 1,600 Reaction score 1,575 Nov 27, 2013 #5 Baba V said: Sijui kwa nini kila nikiskia hilo jina kwenye bold napata hasira.. Click to expand... Haaa haa!!mkuu baba v.... Ulikaa morogoro nini mkuu??!!
Baba V said: Sijui kwa nini kila nikiskia hilo jina kwenye bold napata hasira.. Click to expand... Haaa haa!!mkuu baba v.... Ulikaa morogoro nini mkuu??!!