Wanaoforce kuchekesha watu mitandaoni

Wanaoforce kuchekesha watu mitandaoni

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
Habari wadau.. sasa hivi imezoeleka kwenye mitandao ya jamii kwa baadhi ya watu kujifanya wachekeshaj.

Wanajirecord short clips na kuzipost kwenye account zao especially instagram, kifupi hawa jamaa hawachekesh na wanataka uwafollow kwenye youtube page zao through their bio lengo kupata viewers weng youtube coz nmesikia they get paid wanapokuwa na viewers weng.

My take.

Kila kitu kinawezekana kama utakipa nafasi kiwe perfect.. namaanisha kabla hawaja amua kuwa wachekeshaj inabid wawaangalie wenzao wanafanya nn, wamepitia njia zipi kufika walipo.

Kwa kufanya hivi bas watafanikiwa..lakn sio kupita shortcut..
Vichekesho vyao vya kawaida sana ili kucheka lazma na wewe kichwan kidogo kuwe hamna kitu.

NO GAINS WITHOUT PAIN.

Muwe na jumapili njema
 
Back
Top Bottom