gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 55
Mungu akutangulie na tunakuombea ufanikiwe amin
Mungu akulinde akuongoze na kukubarika katka kila utakalokutana nalo ukalfanye lenye mafankio kwako. Kila la kher. Pamoja sana mi ntakuwepo pale jtano kwaajil ya ass. Account.
mungu atuongoze na atupiganie pia , mie ntakuwep j4 kweny claims officer , nafasi zinazotakiw n 35 tuloomba ni mor than 15 elf ,mungu atubalik
mungu atuongoze na atupiganie pia , mie ntakuwep j4 kweny claims officer , nafasi zinazotakiw n 35 tuloomba ni mor than 15 elf ,mungu atubalik
Amen mkuu. But ningeomba msaada, kwa yeyote anayefapahamu TEC kurasini anipe proper direction please (kutokea Mwenge). Natanguliza shukrani.
Salama. Claimd officer si j5 tar 27 saa tatu asubuhi!!?? Au ninapishana na gari la mshahara!!??
yah kweli mdau nlichek vibaya , ni j5 tare 27 mkuu
Tec ipo kurasini baada ya geti la TRH (TANZANIA ROAD HAULAGE) inshort ulizia jimbo/jengo la maaskofu!! Mimi nilienda leo kupajua na pia nina interview pale j5 tar 27!![ kiongo cjajua kama uko sahih j5 itakuwa tar 26 na saa tatu wanaanza wale ass. Accountant na baadaye by saa nane watafuata wa internal auditors. Hebu hakik tar vzur. Ucje zmia cku iyo. Ahsante nasilsha

Mimi binafsi nafanya interview ya claims officer iii ambayo ni tar 27 siku ya j5 saa tatu asubuhi!! Mpaka hapo!!??
J5 ni tar 26 co na tar 27 ni alhamisi
Utata ni kwenda afu uambiwe barua yako haikufika. au wanataka first class tuu maana wengine wanatoka Tandahimba