Wanaobeza maridhiano mko dunia gani?

Kafanyen maridhiano na chaumma na Act ambao mlifanya nao uchaguzi chadema haitaki ujinga ujinga wa ccm over.
 
Yaani muue WaTanganyika zaidi ya wale waliuliwa na nduli Idd Amin alafu mlete propaganda za maridhiano?
Hivi Nyerere aliridhiana na Idd Amin baada ya mauaji yale? Kama jibu na HAPANA basi ni na nyie halitokaa liwezekane.
Mnachukiwa kwa chuki zaidi alivochukiwa nduli Idd Amin!
 
Wa kati wa maridhiano South Africa, kati ya ANC na uta wala wa wazungu wachache,
Kwanza kulikuwa na, wapatanishi wa, nje, pili watawala walikili wazi mbele ya wahanga mabaya waliyotenda,
Huku kwetu kenge wa CCM, wanasema waliua ndio Ila ilikuwa haki Yao kutuua!
Sasa, njoo tukubaliane,
 
Mnaridhiana na nani? Kuhusu nini?? Si mlishinda kwa 98% sasa maridhiano gani?? Acheni upumbavu
 
Ila CCM sijui mnatuonaje wananchi, mlikuwa na vikao na hao chadema baada ya Mbowe Kutoka kolokoloni baada ya kumshukia takribani miezi minane.

Baada ya Yale mazungumzo likitokea nini uchaguzi wa serikali za mitaa? Nchi nzima mlipora uchaguzi , hata Mwalimu wa sekondari mlimwambia hawezi kujaza form mkamuengua sasa kwa staili hiyo mnatarajia maridhiano ya nini?

Yani hamtaki kubadili vifungu vya sheria mnasubili uchaguzi ufike halafu mpole uchaguzi na baada ya hapo muitishe Maridhiano?

Kwa staili hii kuna haja gani ya maridhiano?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…