kwanza mnaalikana tu vyengine humu vinakunywa juice tu vinalala! mtu wa hivyo anatoka anaenda kufanya nini si heri alale tu atulize kitovu!..
kutoka ni kunywa kulewa unacheza mpk unakanyaga waya mziki unazima unagombana na dj,na unavimba hakuna wakukushika akijotokeza mtu unamlamba bichwa la pua asubuhi ndugu zako watakukuta selo katika hali ya maghafiriko!..π