Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,619 Reaction score 65,083 Nov 6, 2026 #1 Kujifungia ndani ni kujiongezea matatizo tu. Ngoja tukakutane huko viwanjani na watu mbalimbali; walioajiriwa, waliojiajiri, wasanii, wanadini, wanaotembeza kahawa n.k angalau siku ipite vizuri. Twendeni viwanjani.
Kujifungia ndani ni kujiongezea matatizo tu. Ngoja tukakutane huko viwanjani na watu mbalimbali; walioajiriwa, waliojiajiri, wasanii, wanadini, wanaotembeza kahawa n.k angalau siku ipite vizuri. Twendeni viwanjani.