Wananisifia mpaka nashangaa

unahonga sana mkuu ndio maana hakuna complain na wanakujaza mkuu
 
Mkuu kwa nini unasimamia ukucha hivyo na wakati huyo ni mpenzi wako mpaka anafikia hatua ya kusema kama ana bakwa mapenzi ni starehe jaman sio kutesana hivyo hata mkimaliza mnakuwa na hamu tena
 
Tuheshimiane we mzee, kwahiyo unakuja kutuuliza sisi kwa misingi ipi yaan????

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
Mkuu kwa nini unasimamia ukucha hivyo na wakati huyo ni mpenzi wako mpaka anafikia hatua ya kusema kama ana bakwa mapenzi ni starehe jaman sio kutesana hivyo hata mkimaliza mnakuwa na hamu tena
Mimi najua friction ndiyo starehe yenyewe, kadri inavyozidi ndiyo utamu unaongezeka and vice versa is true ama namna gani?
 
Mimi najua friction ndiyo starehe yenyewe, kadri inavyozidi ndiyo utamu unaongezeka and vice versa is true ama namna gani?
Nani kakudanganya mkuu huko ni kutesana na kumuumiza mwenzio mapenzi ni starehe jaman kila kitu kikizidi kina madhara
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…