IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,830
- 7,374
Aisaee... Samahani sana !! Mwanamke kabeba 9 months na kakuzalia kwa salama!! umeshindwa kuridhia ka jina tu !! kumradhi UKATILI siyo wa jina ila ni wako binafsi huo !! Badala ya kumzawadi G/F wako !! THINK...
Wewe ndiyo baba, hakuna maelezo Mengi, mpe jina linaloanzia na M kwani ni herufi yenye bahati na pia utakuwa kwenye historia ya kukumbukwa juu ya ushindi wa Dr Magufuli.Wana Mmu habarini iam very dissapointed nimezaa na girlfriend wangu ni mnyarwanda anaitwa Yveti wazazi wake mmoja ni,mtanzania ila mama ake ni mnyarwanda na wazazi wake wote wanaishi rwanda(wana biashara zao) nilikutana,nae school of medicine sasa nimezaa,nae cha ajabu wazazi wake wanataka nimuite jina jezebeli mtoto ana siku 14 bado tunazozana maana mimi sitaki hilo jina maana lina mreflect mtu hatari sana kwenye bible ambaye alikua mwanamke katili muuaji anaejipenda for sure sijawai kuona mtu anamuita mwanae jezebel kwa sasa hv tumeamua kumpa jina baby kwa muda hadi tuafikiane ila wao hawataki kuchange mawazo sasa naombeni mnishauri hv ni mindset yangu tu kuhusu jina ama nipo sahihi nikubali hilo jina
Pole baba jezebeli....
Couldn't have said it better. So much wisdom right there.Tatizo lako umemzalisha na hujamuoa, hapo ndio shida ilipo.
Ingekuwa umemuoa mamlaka yote yangekuwa juu yako ila kwa kuwa bado hujamuoa wazazi wake wanajiona bado wana mamlaka.
Kaeni chini mshauriane tu
Wewe ndiyo baba, hakuna maelezo Mengi, mpe jina linaloanzia na M kwani ni herufi yenye bahati na pia utakuwa kwenye historia ya kukumbukwa juu ya ushindi wa Dr Magufuli.