Wanangu JOKATE ni mzuri paaah

Wanangu JOKATE ni mzuri paaah

Za sahizi humu ndani kama mjuavyo mida yangu ya wanga ndo mida mixuri zaidi kwangu kwenye kutafakari mambo mbalimbali

Majuzi nilikuja na thread ya kusema kuwa namuwaza sana demu fulani hivi niliyesoma nae A level

Sasa nimekumbuka kitu yule demu alikuwaga na mshepu tu ila sura ni below average sasa nimepitapita huko mtandaoni nikamkumbuka jokate aseee

Huyu mdada ni mzuri sana wanangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mungu kampendelea sana huwezi kuwa mzuri kiasi hiki wanangu

Aaaah sura kama asali [emoji518] [emoji3059][emoji3059][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059] hope oneday ntakuwa na mwanamke kama yeye (sio ndoa)

Aseee kwa wanawake wote wenye sura nxuri Mungu awabariki mnazidi kutupa motivation ya kupambana na maisha kupata hela
View attachment 2522336
Tatizo wazaramo Maneno mengi
 
.
1676802057661.jpg
 
Kwa hiyo ushamchukulia Sheria mkononi mheshiwa wetu?🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom