Wanangu JOKATE ni mzuri paaah

Mbona wa kawaida sana huyo, kama upo Dar siku moja nenda tu kapige misele Posta mpya mida ya asubuhi au jioni baada ya kazi...uone mji ulivyopambwa na maua mazuri mazuri
 
Sura nzuri ina raha yake. Ukiwa umemlalia halafu unamla mate ile mnamaliza kudendeka itokee amefungua macho halafu akupe tabasamu la kimahaba na ule uzuri wa sura unaona dunia yote yako
 
Mbona wa kawaida sana huyo, kama upo Dar siku moja nenda tu kapige misele Posta mpya mida ya asubuhi au jioni baada ya kazi...uone mji ulivyopambwa na maua mazuri mazuri
Kwangu mimi nimependa mpangilio na uwiano wa sura yake mkuuuu ndo maana sio kwamba wengine siwaoni ila yy yupo bien bien
 
Write your reply... Beauty falls in the eyes of the beholder, unayemdhania Ni mzuri kwako anaweza kuwa mbaya kwa wengine and vice versa is also true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…