ma blaza mshana, upo sahihi kabisa.. juzi kati nimetoka kuulizwa na mchumba kama kwa wanandoa wakatoliki mmoja akifa mwingine anaruhusiwa kuoa/kuolewa, nkajibu hairuhusiwi, akauliza sasa kwanini hairuhusiwi wakati 2nasema kifo ndo kitakachowatenganisha... nkahisi kuuliwa uliwa huko mbeleni..
ni changamoto mkuu..
naunga mkono hoja.
Sent using
Jamii Forums mobile app