kama swala la historia napinga labda useme utabiri coz hiyo zamani wazee wetu hawakua wanakaa kwenye mahusiano kipindi kirefu na ndoa zao ndio mifano ya kuigwa hadi leo,watoto wao walipata bahati ya kukua hadi kuoa /kuolewa wakati wazazi wao wanaishi pamoja bado,
leo hii watoto wakifanikiwa kuoa/kuolewa utakuta high table kuna mzaz mmoja yupo na step mom na mama mzazi yupo side yake yupo na step faza
Tofauti ya ndoa za sasa na za zamani ni hii: zamani watu walikuwa na uelewa wa mambo mdogo sana na walikuwa na heshima/nidhamu ya uoga, maamuzi ktk ndoa zao yalikuwa yakitolewa na ndugu, (mama, baba mjomba au shangazi) lakini watu wa siku hizi ni waelewa sana wa mambo na hawana heshima/nidhamu ya uoga, maamuzi mengi ktk ndoa hutoa wenyewe. Ndoa za kale wakina mama walikubali kunyanyasika na walikuwa wakivumilia aina zote za machungu ya ndoa, ndiyo maana walidumu ktk ndoa zao, wanawake wa siku hizi hawa wa .com subutuu! Ukimwaga mboga anamwaga ugali. Upoo?
Tofauti ya zamani na sasa wazazi walihusika moja kwa moja kwenye swala la kuoa/kuolewa kijana na halikuwa jambo la muda mfupi mfano wamasai tangu mtoto akiwa mdogo wazazi wameshaanza mazungumzo, maisha ya sasa tunakutana Mjini hatuna baba wala mama anaetuongoza.
ndo ujue swala la mahusiano ya mda mrefu hayana uhusiano na utulivu wa ndoa
kuhusiana na jambo la kujuana hilo nalipinga kutokana na historia ya bibi yangu na babu yangu ambayo imedumu ndani ya miaka 23 sasa na ukizingatia kipindi hicho kulikua hakuna kujuana walikua wanachukuana 2 lkn ya leo unaweza kudumu naye hata miaka 4 ktk mahusiano na isidumu labda uniambie sababu nyingine lkn sio ya kujuana tabia kwa muda mrefu
lkn hiyo ni akili ya m2 mbona wengine wanaoana makjirani kwa majirani lkn ndoazao hazidumu na unakuta wanamahusiano mazuri 2 na familia zao lkn ndoa hazidumuBabu yako alitafutiwa bibi yako baada ya wazazi na wanafamilia kumjua vizuri bibi yako.....nazungumzia sisi tunaokutana City mmoja Mara mwingine Arusha hapa hakuna yeyote wa kutuangalizia
lkn hiyo ni akili ya m2 mbona wengine wanaoana makjirani kwa majirani lkn ndoazao hazidumu na unakuta wanamahusiano mazuri 2 na familia zao lkn ndoa hazidumu
Hapo umenea bra-joe, embu tunasaidiane nini cha kufanya?
suala la kujuana ndio lkn kwa mazingira ya sasa hiyo ni ndoto hata kama wakijuana ndani ya miaka 10 lkn wanaweza kwenda kwenye ndoa wakakaa ndani ya miaka miwili wakaachana kutokana na tamaa za kidunia na mambo mbalimbali yanayo tukumba yakiwemo ukosefu wa nguvu za kiume na hata m2 kutofikishwa mahali pakeDada Prianka sababu zinaweza kuwa zile zile, jambo la msingi ni wanandoa kuwa na muda mrefu kujuana kitabia, m2 anaweza kuwa jirani au rafiki ila usijue au kuchunguza tabia zake za mapenzi/mahusiano
suala la kujuana ndio lkn kwa mazingira ya sasa hiyo ni ndoto hata kama wakijuana ndani ya miaka 10 lkn wanaweza kwenda kwenye ndoa wakakaa ndani ya miaka miwili wakaachana kutokana na tamaa za kidunia na mambo mbalimbali yanayo tukumba yakiwemo ukosefu wa nguvu za kiume na hata m2 kutofikishwa mahali pake
asante pole pia kwa michango unayo toa na kutoa michango tunatoa kwa sababu kupata 2 chakula cha pamoja ndugu jamaa na marafiki na kuona kwa wale ambao 2nakua atujaonana muda mrefu na kuhusu kuoa au kuolewa wanafanya ivyo kwa kuondoa nuksi na misemo midomoni mwa wa2 yule alikua mke au mme wa fulaniImetulia ma sist, embu tusaidiane ni kwa nini kila siku tunatoa michango vijana waoe/waolewe ila tukirudi baada ya muda wameachana au wanaishi kuogopa michango yetu ila mapenzi kwishnei
asante pole pia kwa michango unayo toa na kutoa michango tunatoa kwa sababu kupata 2 chakula cha pamoja ndugu jamaa na marafiki na kuona kwa wale ambao 2nakua atujaonana muda mrefu na kuhusu kuoa au kuolewa wanafanya ivyo kwa kuondoa nuksi na misemo midomoni mwa wa2 yule alikua mke au mme wa fulani
asante kwa kua mwelewa kwa hiloHapo kwenye Bold na Underline umenena ya wahenga, ndoa nyingi za sasa ni viini macho