Wanandoa msuguane migongo jamani!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanandoa msuguane migongo jamani!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Apr 23, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,765
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri
  nimeona ndoa nyingi kuna hali ya kuogopana kuogeshana na leo
  hii nimeona niwwaletee hii mada ya matatizo yake
  kuna watuwengi wanakuwa wakijikuna kwenye ukuta ama wa nyumbani ama
  maofisini uchunguzi unaonyesha tatizo la kutosuguana mgongoni limeleta
  wanandoa kuwa na uchafu mwingi sana mgongoni kuna watu wana miaka zaidi ya kumi
  awajawahi kusuguliwa mgongoni mgongo kama sehemu nyingine yaitaji kusuguliwa jamani

  hivyo mkiwa kama wanandoa usikubali mumeo ama mkeo kuanza kuwashwa washwa ovyo mgongoni ogen pamoja suguaneni mkiweza malizanneni ruksa mmehalalishwa

  nawatakieni ndoa zenye furaha zisizo na aibu
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Yaani mkuu ilibidi kwanza nicheke kabla kutafakari hii mada yako nzuri...sasa kama mtaanza kumalizana kabla ya kusuguana hiyo migongo itabaki michafu kila siku...ikibidi zoezi la mwisho litafanyika mwanzo...au kusuguana iwe mwisho?
   
 3. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #3
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ha haaaaaaaaaaaaa. siku hizi kuna mabrashi yana mshikio mrefu. linunue hilo liweke bafuni, kila mtu atalitumia kwa wakati wake
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,765
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu imebidi nicheke
  inaonekana ulikuwa mpenzi sana wa kipindi cha mama na mwana unakikukmbuka
  mpwa wasuguane kwanza wakianza sidhan watafika uko.nashukuru kwa angalizo
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  u mean it aisee nielekeze nikaipate na mm mana hapa wanaongelewa wenye ndoa wengine bado tupo tupo kwanza
   
 6. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #6
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kama upo dar nenda Game, Shoppers nina uhakika utapata. sina uhakika kama maduka ya kawaida yanapatikana
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,765
  Trophy Points: 280
  Duh
  si mchezo unanikumbusha 3rd newton law of motion every action ................................
  Si mchezo
   
 8. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hahaa pdiddy mada nzuri lkn kucheke huwezi kujizuia!
  hehee kwa hiyo watu wanajikuna kwenye kuta za maofisini,wasíje tu wakatafuta jiti la kujikunia mgongo maana uwasho ni noma!
  haya wenye ndoa msuguane migongo yenu hiyo!
   
 9. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mmmhhh umejuaje?

  lakini hii yakuogesha ni idea nzuri hatakama siokusuguana migongo....
   
 10. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #10
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  We umejuaje do you have evidence au unassume tu?
   
 11. m

  masho Member

  #11
  Apr 24, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  teh teh teh hii kali kujisugulia kwenye ukuta hhahahhahhahhaha,
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ushahidi anao yeye mwenyewe huwa anajikuna kwa ukuta.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,765
  Trophy Points: 280
  evidence unaitaji kukunwa ama???sijaelewa by the way za maofisin ziko nyingi tu kwetu
  kila baada ya miesi kasaa wanapaka rangi jinsi kuta zinavyoteswa
   
 14. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hivi sisi bachelors atatusugua nani..........?????
   
 15. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #15
  Apr 24, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  brush zipo zina mshikio mrefu, download moja dukani. sio lazima usuguliwe na mtu.
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,765
  Trophy Points: 280
  Father xmass
  niko na gym yangu ukija ukiitaji kusuguliwa ruksa tena na dada wazuri tu haapa
  tanki bovu kuelekea kwa mboma unachagua sabuni gani,vitara,mbuni,safari,taifa

  ama alovera/freemasson nk......hiyo ni ofa usijali mpaka utakapopata mke wa kuoa
   
 17. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Duh! Hii Kali!!! Nikijaribu ku-apply HOME lazima kiitwe kikao cha wazazi... "Kuwa nina nyumba ndogo"
   
Loading...