Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 547
- 1,193
anajaziwa sahan mkuuKwa nini akutengee chakula?Kwani utaratibu wa kula si kila mtu hupaswa kujipakulia size yake?
Humo humo pia,labda jamaa hana afya nzuri na pumzi ya kutosha😁Au mkuu kuna namna anakufikishia ujumbe kuwa ule ushibe ili kwenye show time, iwe show kweli..!
On a serious note, mwenyewe bae asipomaliza chakula huwa namaindi ila silii..!
Mwanzo ilikua ngumu sana kumuelewa...ila nilifanya uchunguzi nikagundua ni upendo tu na kuepuka kusemwa vibaya kuwa hamjali mumeNdoa ngumu sana wallah, binafsi waifu pia ana mambo hizo ila nikimpiga maneno anaridhika japo sio mara zote.
Dah!!!!, Umenikumbusha nilipoenda Ukweni huko kwa Wafipa, nakwambia unapewa msosi kibao halafu wanakusisitiza umalize.Mwanaume anakula na kumaliza hotpot ww unakwama wapi.
Kweli kabisa mkuuMkuu iyo ni kawaida sana...mimi nina mwaka na... Hakuna kitu wake wanapenda kama sifa. Mume akishiba anajisikia vizuri sana,usiposhiba anahisi umekula sehemu au hujapenda chakula chake. Pia mume akiwa na afya mke anasifiwa anajua kulisha na kutunza anaepuka maneno toka kwa mawifi au mama mkwe.
Tena mpende sana mkeo mana anakujali,kuna wake wengine akitenga chakula yuko chumbani anachat,kula usile utajua mwenyewe.
Itoshe tu kusema ANAKUJALI.
Mm nikipewa msosi naupiga mpaka wanasema mmmmh utaua watoto kwa njaa.Dah!!!!, Umenikumbusha nilipoenda Ukweni huko kwa Wafipa, nakwambia unapewa msosi kibao halafu wanakusisitiza umalize.
Yeye anataka ndiye awe ananipakulia. Mila na desturi si unajuaKwa nini akutengee chakula? Kwani utaratibu wa kula si kila mtu hupaswa kujipakulia size yake?