Mimi hata hiyo katiba mpya pendekezwa siitaki, kwasababu ilikojolewa na kunajisiwa pakubwa sana na kakundi kalikojiita 'bunge la katiba'.Maendeleo ya kweli yasiyo na ubabaishaji, Maendeleo yenye haki na Maendeleo ambayo mtu akituibia anawajibika papo hapo yapo kwenye Katiba mpya.
Mfumo wa kichief na kiujamaa umepitwa na wakati ni muda wa kuukataa kwa nguvu zote!!.
Wewe ni mwana siasa unaye tamani kupata nafasi ktk serikali,au kuteuliwa kupitia katiba mpya ila sisi wananchi tunataka kwanza maendeleo.Tusidanganyane[emoji849]
Wananchi tunahitaji Katiba mpya, itakayofanya nchi iendeshwe kulingana na matakwa na matamanio ya umma, kuliko ilivyo sasa, inavyoendeshwa na kikundi cha watu wale wale tangia uhuru..
Inawezekana kwa akili yako ndogo ndio maana uelewa wako ni duni kwakuwa una elimu duni iliyotokana na katiba mbovu!!!Huo ndio ukweli, kwa sasa wanasiasa ndio wanataka katiba mpya kwa lengo lao moja tu tamaa ya kushika DOLA lakini sisi wananchi kwa sasa tunataka maendeleo kwanza, tunataka maisha yetu duni ya kimasikini yakwamuliwe, kwa sasa tunataka elimu bora kwa watoto wetu, tunataka maji safi na salama, tunataka umeme wa uhakika, tunataka huduma za afya bora.
Kwa sasa tunaye Rais aliye na dhamira ya dhati kufanya mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kisasa hivyo tumpe muda kama alivyo sema ili aweze kujipanga na kushughulikia jambo moja baada ya jingine, tusilazimishe mambo twendeni kwa busara, wanasiasa acheni jazba, wananchi tumemuelewa vizuri Rais wetu Samia.
Kila mwananchi anafahamu umuhimu wa katiba mpya baada ya zoezi la Jaji warioba, ila kwa sasa Rais wetu katumia kauli ya kiungwana huvyo na sisi tuwe waungwana, tusijifanye wajuaji sana, tusiwe wabinafsi, tuache kejeli,tusimbananishe, kila jambo lina muda wake,tuwe wavumilivu kwani mvumilivu hula mbivu.
kazi iendelee.
Ccm akili ni ndogo sana ndio maana marehem alinunua wapinzan na mama kawajaza kwenye nafasi!?? Kwan mama kasemaje!??Ajabu sana mkuu,matakwa yao wanawapakazia wananchi,mama kawastukia kawapiga TKO,wamebaki kuhenyahenya tu mitandaoni.
Mama shikilia hapo hapo,hakuna kucheka na nyani.
Hayo maendeleo utayasikia tuuu huu ni mwaka wa ngapi tangu uwe huru!??Mtoa mada umegusa palepale , sisi wananchi tuahitaji maendeleo ya kimiundombinu huduma safi za Afya maji umeme barabara safi huduma nzuri za kibenki ajira na uwezeshwaji,hao wapiga ndomo wao wanachohitaji ni njia ya kufika kiwepesi kuikalia nchi na kuila asali juu ya mti kabla hata ya kuutwisha mzinga wa asali chini.
*ukiwafikiri sana wanasiasa unaweza kucheka Sana wanapenda Rahisi rahisi tu "aongee neno apate pesa" simple like that's...!"ashawishi wajinga wamchangie apate kuishi"Ajabu kuna watu na Akili zao wanachanga tena kwa hiyari yao wenyewe,kwa lafudhi tamu za wanasiasa za matumaini kwa watu hao.
Kazi iendelee!!!? hii ni kejeri kwa walala hoi na wale wasio kuwa na ajira.......
Hiyo kazi iendelee sijui hata ni kazi gani asee
Na ndio ukweliHuo ndio ukweli, kwa sasa wanasiasa ndio wanataka katiba mpya kwa lengo lao moja tu tamaa ya kushika DOLA lakini sisi wananchi kwa sasa tunataka maendeleo kwanza, tunataka maisha yetu duni ya kimasikini yakwamuliwe, kwa sasa tunataka elimu bora kwa watoto wetu, tunataka maji safi na salama, tunataka umeme wa uhakika, tunataka huduma za afya bora.
Kwa sasa tunaye Rais aliye na dhamira ya dhati kufanya mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kisasa hivyo tumpe muda kama alivyo sema ili aweze kujipanga na kushughulikia jambo moja baada ya jingine, tusilazimishe mambo twendeni kwa busara, wanasiasa acheni jazba, wananchi tumemuelewa vizuri Rais wetu Samia.
Kila mwananchi anafahamu umuhimu wa katiba mpya baada ya zoezi la Jaji warioba, ila kwa sasa Rais wetu katumia kauli ya kiungwana huvyo na sisi tuwe waungwana, tusijifanye wajuaji sana, tusiwe wabinafsi, tuache kejeli,tusimbananishe, kila jambo lina muda wake,tuwe wavumilivu kwani mvumilivu hula mbivu.
kazi iendelee.
Akili yako ni fupiHuo ndio ukweli, kwa sasa wanasiasa ndio wanataka katiba mpya kwa lengo lao moja tu tamaa ya kushika DOLA lakini sisi wananchi kwa sasa tunataka maendeleo kwanza, tunataka maisha yetu duni ya kimasikini yakwamuliwe, kwa sasa tunataka elimu bora kwa watoto wetu, tunataka maji safi na salama, tunataka umeme wa uhakika, tunataka huduma za afya bora.