Wananchi walishwa unga wa ndere...!

Wananchi walishwa unga wa ndere...!

vonteper

Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
24
Reaction score
9
Days are numbered ...hilo lipo wazi ni mithili ya bianadamu aliye zaliwa na mwanaamke ili hali akijua kifo kipo..
Tumetawaliwa na hofu,mashaka na woga wa tusiyo yajua kwa kile walicholishwa wananchi ..na chama tawala.
Wananchi wameaminishwa kua

tanzania ni ccm,
tanzania haiendeshwi bila madeni,
tanzania watu wachini wanadhamani zinazo nunulika
Tanzania wezi wengi ni afadhali kuliko mmoja wasiye na uhakika nae
Tanzania inaweza badilishwa na mtu mmoja si mfumo kubadilika
Tanzania uthamani wa mwananchi ni kura tu.
Tanzania upinzani ni vita
Tanzania wezi wakalamu hawafungwi
Tanzania wenye akili ni wanaoongoza serikali

Leo nasema hapana...mtanzania mwenye akili ni yule anaye jua nchi yetu inahitaji nini kwa sasa ni mabadiliko tuu. Hivi vilivyosemwa ni unga wa ndere wanalishwa wananchi ..fanya uamuzi ulio sahihi ukiwa unafanya mtihani wako wamwisho uwe umesoma hujasoma andika jibu sahihi.

Kwa udongo uliumbwa kwa udongo utarudi mavumbini ulitoka mavumbini utarudi....na kila aliye zaliwa na mwanamke siku zake zakuishi si nyingi...kadhalika ccm ilitengenezwa na pia itapita...hakuna mkubwa zaidi ya tanzania usiwaze maisha yako leo waza watoto na vizazi vingi vijavyo baada ya ww kupita

Mungu ibariki tanzania mungu ibariki ukawa mungu iangushe ccm.
 
Back
Top Bottom