nashindwa kuelewa kwanini haya mambo yanaendelea?
Hakika vileo kila sehemu siku hizi ndio maana kama Wanashindwa kuwaona Wazawa ndio bora kuliko huyu mwekezaji basi, Sheria kila wakati watafanya hivyoSolidarity forever! Watu wa njia hii nawafagilia sana. Sio mara yao ya kwanza kufanza mambo haya.
Solidarity forever! Watu wa njia hii nawafagilia sana. Sio mara yao ya kwanza kufanza mambo haya.
Kwenye Magazeti ya leo Mh Amos Makalla (CCM secretariat-Treasury) kamjia juu Mzee Warioba aliyeonya juu ya yanayotokea-Leo segera wanamjibu Makalla kile alochosema Warioba.
Nakubaliana na wewe lakini ningependa kuqualify post yako kwa kunyambulisha " solidarity forever, sio kwenye barabara tu tuende hadi kwenye madini, ardhi, misitu, viwanda na kadhalika na isiishie segera bali Watanzania ( wenye unchungu wa kweli na nchi hii) tujenge hiyo solidarity".
tutafika tu wanapotaka ...wao wanadhani vita inaaanzaje ni kidogo kidogo kuna siku suti zitawabana we ngoja tu
kweli mkuu but hata sisi wachache tuliopo hapa home tunaweza kutekeleza haya...mimi nachoshwa sana na nchi hii jamani ,why kila siku matatizo aklisema Warioba wanaanza oooh hajawai kuisifia serikali ya JK..yaani ni tabu tupuwell,
nilidhani katika INTELLECTUAL LEVELS TUNGEIMPLEMENT STRATEGIES OF THE LIKE!lakini lol!ninety percent of the jamii subscribers wapo ng'ambo.Though i believe we can do something still