Wananchi waandamana kulaani kukamatwa kwa Bobi Wine! Polisi yawatawanya kwa mabomu ya machozi na kupiga risasi hewani

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Polisi nchini Uganda imewatawanya waandamanaji kwa kupiga risasi hewani na mabomu ya machozi katika Barabara ya Bombo, Kisekka na Old Kampala. Maandamano hayo yanapinga na kulaani kukamatwa kwa Mbunge Bobi Wine aliyewekwa kizuizini tangu mwishoni mwa juma lililopita.
========

Police in Uganda have arrested 10 people linked to the continuing protests by youth demanding the release of Opposition MP Bobi wine.

Business came to a standstill in parts of Kampala, Uganda on Monday afternoon as police and the army battled to contain the rioters.

The protesters mainly youth chanted Wine’s slogan, ‘People Power. Our power’ and lit bonfires in the middle of roads at Kisekka Market, Namirembe Road and Kikuubo Market Lane.

The demonstrators demanded the release of the Kyadondo East MP.

At least a dozen people have been arrested in an operation commanded by Assistant Commissioner of Police Dennis Namuwooza.

They accused the government of arresting and torturing MPs Bobi Wine, Francis Zaake and others who were arrested in Arua last week on Monday, following a scuffle that ensued between MP-elect Kassiano Wadri’s supporters and those of NRM candidate Nusura Tiperu.

1.jpg


2.jpg
 
wanachezea amani waliipata Kwa shida baadae majuto ni mjukuu sijui Kwanini wapinzani wao ni fujo tu
 
wanachezea amani waliipata Kwa shida baadae majuto ni mjukuu sijui Kwanini wapinzani wao ni fujo tu
Ni Mani sasa anayechezea amani
Watanzania tulimsaidia M7 sababu IDD Amino Dada alikuwa
Ikiwa na yeye atafanya Yale Yale ya Amin ataondowa
 
Madaraka yanalevya sana. Umemshikilia bado unampiga kama mnyama halafu bado tena kuna mahakamani.... Akishida kesi itakuaje? Hatuna haki wala thamani mpaka kipindi cha uchaguzi au Chama chako kishike dola!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom