Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,439
- 6,692
Wakuu,
Wananchi wa mkoa wa Mbeya leo Julai Mosi wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ikupa Mwaifani ambaye ni Mkurugenzi wa Ikupa Financial Services
Wamemchukulia fomu hiyo kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) wakieleza lengo la kumchukulia fomu ni kuunga mkono jitihada zake katika kuwasaidia watu wenye mahitaji mbalimbali nchini na kumtaka aijaze na kuirejesha kwa wakati.