Wananchi Tuungane kupinga ongezeko la bei ya umeme

safi sana,naunga mkono kupanda kwa bei ya umeme,ari zaidi,nguvu zaidi,na kasi zaidi,mungu awatie nguvu viongozi wetu wasiache moyo huo na watende zaidi ya hapo.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!

Du!!!!!!
 
Nimekubali mkuu, tuambie ni wapi na ni lini tuingie barabarani

Nia Tunayo, Sababu tunazo, Uwezo tunao. mambo haya lazima kwanza tujitambue. Lazima tuamue kuchukua maamuzi magumu (?) Nafikiria jinsi ya kufanya mawasiliano humu kwenye jf ili tukutane na kuanza maandamano. Lazima tuwe na kitu cha kutuunganisha, yaweza kuwa wanaharakati au wanasiasa wenye mrengo wa NGUVU YA UMMA. This is serious, na wakati wa kuchukua hatua ndo sasa.
 

Mkuu unadhani kununua umeme mwingi siku ya leo itasaidia? Kuna kitu kinaitwa 'service charge' ambayo ni charge ya @ mwezi. Jaribu kununua umeme mwingi then ukae kama miezi
sita hivi bila kununua umeme. Matokeo utaona!
 

unaongelea wananchi wa wapi? Hawahawa wa tanzania? Acha bei ziendelee kupaa na maisha yawe magumu zaidi labda itasaidia kutuamsha
 
hata ungepanda asilimia 110 sawa tu kwa sababu wote tunatumia kuni na mkaa .ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Umesema kweli tupu.Nani wa kufanya maandamano?Wenzetu Kenya tu wanatushinda kwa ujasiri wa kuandamana.Tatizo la nchi hii ni sisi wenyewe.

acha waongeze hata asilimia elfu moja, kila mtu atakufa na tai yake shingoni! Sioni watz kuungana kutetea haki zao, sana sana tunafikiria jinsi ya kuchakakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…