amilyroley JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 621 Reaction score 1,200 Oct 10, 2015 #1 Haya ni mahaba kutoka uvungu wa moyo. Wananchi wa Mara wakipiga deki ili msafara wa Lowassa upite katika Barabara hiyo... Hawakawii kusema hapa ni Senegal
Haya ni mahaba kutoka uvungu wa moyo. Wananchi wa Mara wakipiga deki ili msafara wa Lowassa upite katika Barabara hiyo... Hawakawii kusema hapa ni Senegal
N njija Senior Member Joined Jun 30, 2011 Posts 110 Reaction score 62 Oct 10, 2015 #2 Uwiiii haya ni zaidi ya MAHABA
G gumegume JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 1,063 Reaction score 620 Oct 10, 2015 #3 Mr Push-up, unayaona haya?????? Iga na hili!!!!! Lowassa maji marefu!!!!!!!
Ryaro wa Ryaro JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 2,659 Reaction score 1,430 Oct 10, 2015 #4 CCM Yanagonga Pichu...
amilyroley JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 621 Reaction score 1,200 Oct 10, 2015 Thread starter #5 Noma sana haya mahaba Attachments 1444499584940.jpg 15.8 KB · Views: 274 1444499595776.jpg 12.4 KB · Views: 263 1444499607705.jpg 13 KB · Views: 249 1444499619657.jpg 16.5 KB · Views: 253
Ocampo four JF Senior Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 5,789 Reaction score 2,159 Oct 10, 2015 #6 Nakwambia Lowassa kashakuwa rais...
M Manosa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 4,510 Reaction score 3,594 Oct 10, 2015 #7 Etii hapo siyo senegal??
M Mr. Mpevu JF-Expert Member Joined Oct 26, 2012 Posts 298 Reaction score 528 Oct 10, 2015 #8 Basi magamba yataiga sasa hv kupiga deki barabara. Mwaka wameshikwa vibaya sana.Aibu yao.
J jipange JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 209 Reaction score 44 Oct 10, 2015 #9 Hadi raha yaani.
king'amuzi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 614 Reaction score 225 Oct 10, 2015 #10 Huu ndo uzalendo safi sana makamanda mabadiliko yameanzia kwenye damu
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 12,151 Reaction score 44,078 Oct 10, 2015 #11 Kila mahali Lowassa anapofika, watu wanampokea kama Mfalme na mkombozi wao. MaCCM wakiona hivyo wanachukia na kuumia sana, wanatamani kumeza hata wembe.
Kila mahali Lowassa anapofika, watu wanampokea kama Mfalme na mkombozi wao. MaCCM wakiona hivyo wanachukia na kuumia sana, wanatamani kumeza hata wembe.
KING MAZENGO JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 755 Reaction score 200 Oct 10, 2015 #12 HII KALI SANA ! Hakika LOWASSA NI KIPENZI CHA WATU.....
G godlove890 Senior Member Joined Aug 21, 2015 Posts 102 Reaction score 29 Oct 10, 2015 #13 Mafisdiem watacopy kesho mtaona.
J Janosi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2014 Posts 220 Reaction score 39 Oct 10, 2015 #14 na wabarkiwe vijana hao
MzungukoMnangani JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 303 Reaction score 82 Oct 10, 2015 #15 Viva EL
Mapirobe JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 683 Reaction score 117 Oct 10, 2015 #16 NB:Ccm sio malofa,wana akili timamu ya kutafakari na kuchanganua sera!
PingIdea JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 363 Reaction score 183 Oct 10, 2015 #17 Viva Lowassa
fundi25 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 10,378 Reaction score 11,542 Oct 10, 2015 #18 Lowassa ndiye rais ccm imekufa kifo kibaya sana!!
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,904 Oct 10, 2015 #19 Viva have weight lowa. swissme
T The Elephant JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 4,356 Reaction score 4,654 Oct 10, 2015 #20 Manosa said: Etii hapo siyo senegal?? Click to expand... Mkuu sina uhakika! Ila ingekuwa senegal nafikiri pangekuwa safi hakuna haja ya kudeki!
Manosa said: Etii hapo siyo senegal?? Click to expand... Mkuu sina uhakika! Ila ingekuwa senegal nafikiri pangekuwa safi hakuna haja ya kudeki!