Mkuu CCM wameishiwa hoja ndo maana wanaongea pumba, tena wanamuogopa Slaa kuliko hata wakwe zao waulize watakwambia. kimsing Dr Slaa ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa nadhani umeona Arusha need more
huitaki wewe na ndugu zako
Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi. Wanasiasa waliomadarakani wanajaribu kuyawekea mahitaji ya wananchi dhana ya kisiasa.
Wakati wananchi wanasema tunataka Mfumo bora wa elimu watawala wanasema CHADEMA haiwezi kuuleta, sababu DR SLAA Aliiba pesa kanisani.
Wananchi wanasema tunataka mfumuko wa bei udhibitiwe, watawala wanasema CHADEMA haiwezi kudhiti mfumuko wa bei sababu MBOWE ni DJ
Wananchi wanasema tunataka huduma bora za afya, watawala wanasema, DR Slaa anampenda sana Josephine.
Wananchi walia wanakufa njaa, watawala wanasema, CHADEMA ni chama cha Kichaga.
Wananchi wanapiga kelele wanalalamika mariasiri za Taifa letu zinanufaisha wachache na nyingi zinaibiwa na wageni, watawala wetu wanasema Ushindi ni Lazima.
Naomba tukumbushane historia mbichi kabisa, waliomfurumusha Hussein Mubarak kutoka Madarakani sio wanasiasa, Kijana aliyejichoma moto tunisia na kuacha laana nyuma yake hakuwa analalamikia wizi wa kura, waliomkamata Gadafi kwenye mtaro wa daraja walikuwa hawajebaba bendera ya chama chochote kile cha siasa, Hata sasa huko Siria wananchi hawapiganii kuundwa katika mpya wala kuwa na tume huru ya Uchaguzi.
Wito wangu kwa viongozi wa CCM ni huu ufuatao.
Kwanza, kuna ushahidi wa kutosha kwamba hivi sasa duniani, mabadiriko yanatokea kwa kasi ambayo haijawahi kutokea huko nyuma katika kila nyanja ya maisha.
Pili na mwisho, Muda si mrefu watanzania watagundua kwamba wanachokihitaji sio katiba mpya na wala sio tume huru ya uchaguzi wala sio maridhiano ya kitaifa ya namna yoyote ile wala sio ushindi wa wagombea wao.
Narudia tena, Punde kidogo, upepo wa mabadiriko utabidiri mkondo wake, watu watakapoamua kuweka magwanda na kuachana na ustaarabu wa kuonyeshana alama ya V sijui mtawaambia nini.
huitaki wewe na ndugu zako
Kwanza ningetaka kujua ww ni nani ila kwa ufupi ningesema ww ni Mipasho ya MAGAMBA.Nikuulize kuwa ww nani alikwambia kuwa Watz hawaitaki CDM.Na ni nani kasema CDM ni ya Wachaga.Acha kuwa na fikra potofu.Watz tushajanjaruka na hatutaki Propaganda.Kati ya CDM na CCM ni nani chama cha Familia.Obvious ni CCM.Kwa ufupi angalia Arumeru, Eti mpeni SIOI ubunge ana majukumu ya kifamilia.Kwa ni mtanzania yupi asiekuwa na majukumu ya kifamilia.Ningekushauri uwe na fikra endelevu, kwanza noi bora ukafanya Research. WITHOUT RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK. CCM ndio chama cha familia,na kurithishana au ww Huoni.ACHA KUWA NA MAWAZO MGANDO YA KCCM.
umetoa povu kabla hujelewa dhima ya mtoa mada mdau.
Heading yako haina correspondence na content. Iedit.Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi. Wanasiasa waliomadarakani wanajaribu kuyawekea mahitaji ya wananchi dhana ya kisiasa.
Wakati wananchi wanasema tunataka Mfumo bora wa elimu watawala wanasema CHADEMA haiwezi kuuleta, sababu DR SLAA Aliiba pesa kanisani.
Wananchi wanasema tunataka mfumuko wa bei udhibitiwe, watawala wanasema CHADEMA haiwezi kudhiti mfumuko wa bei sababu MBOWE ni DJ
Wananchi wanasema tunataka huduma bora za afya, watawala wanasema, DR Slaa anampenda sana Josephine.
Wananchi walia wanakufa njaa, watawala wanasema, CHADEMA ni chama cha Kichaga.
Wananchi wanapiga kelele wanalalamika mariasiri za Taifa letu zinanufaisha wachache na nyingi zinaibiwa na wageni, watawala wetu wanasema Ushindi ni Lazima.
Naomba tukumbushane historia mbichi kabisa, waliomfurumusha Hussein Mubarak kutoka Madarakani sio wanasiasa, Kijana aliyejichoma moto tunisia na kuacha laana nyuma yake hakuwa analalamikia wizi wa kura, waliomkamata Gadafi kwenye mtaro wa daraja walikuwa hawajebaba bendera ya chama chochote kile cha siasa, Hata sasa huko Siria wananchi hawapiganii kuundwa katika mpya wala kuwa na tume huru ya Uchaguzi.
Wito wangu kwa viongozi wa CCM ni huu ufuatao.
Kwanza, kuna ushahidi wa kutosha kwamba hivi sasa duniani, mabadiriko yanatokea kwa kasi ambayo haijawahi kutokea huko nyuma katika kila nyanja ya maisha.
Pili na mwisho, Muda si mrefu watanzania watagundua kwamba wanachokihitaji sio katiba mpya na wala sio tume huru ya uchaguzi wala sio maridhiano ya kitaifa ya namna yoyote ile wala sio ushindi wa wagombea wao.
Narudia tena, Punde kidogo, upepo wa mabadiriko utabidiri mkondo wake, watu watakapoamua kuweka magwanda na kuachana na ustaarabu wa kuonyeshana alama ya V sijui mtawaambia nini.
Title inapotofautiana na maudhui tarajia kuwa-mislead wasomaji!
Nakuhakikishia kwamba kabla ya 2015 utakuwa umeikana CHADEMA mara tatu.Kwanza ningetaka kujua ww ni nani ila kwa ufupi ningesema ww ni Mipasho ya MAGAMBA.Nikuulize kuwa ww nani alikwambia kuwa Watz hawaitaki CDM.Na ni nani kasema CDM ni ya Wachaga.Acha kuwa na fikra potofu.Watz tushajanjaruka na hatutaki Propaganda.Kati ya CDM na CCM ni nani chama cha Familia.Obvious ni CCM.Kwa ufupi angalia Arumeru, Eti mpeni SIOI ubunge ana majukumu ya kifamilia.Kwa ni mtanzania yupi asiekuwa na majukumu ya kifamilia.Ningekushauri uwe na fikra endelevu, kwanza noi bora ukafanya Research. WITHOUT RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK. CCM ndio chama cha familia,na kurithishana au ww Huoni.ACHA KUWA NA MAWAZO MGANDO YA KCCM.
King xvi, nashukuru mods wameipiga ID yako ya zamani LIFE BAN.KWI KWI KWI KWII, teh teh teh. Wishful thinking!