Wanabodi.
Habari tulizozipata kutoka kwa Wananchi wa Arumeru Mashariki, wanaomba kuuliza mbunge wao Joshua Nassari kafikia wapi kwenye ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wapiga kura wake Wananchi wa Arumeru Mashariki, kuwa wakimchagua kuwa mbunge wao Arumeru Mashariki atashusha bei ya sukari ndani ya miezi miwili.
Wananchi wapenda maendeleo Arumeru Mashariki wanahoji lini bei ya sukari itashuka kwenye jimbo lao.
Mkuu ritz, wewe na CHADEMA tu! naomba unieleze kwani wewe ndie msemaji wa wananchi wapiga kura wa Arumeru?ulikutana nao lini wakakupa jukumu hilo?Au ni ule ugonjwa wako wa kila siku wa kujikomba kwa watawala bado unakusumbua?Mbona hizi ni propaganda za kitoto kupita kiasi mpaka unajidharirisha! kwani kazi za mbunge ni kupanga bei ya bidhaa? rudi shule jamaa yangu la si hivyo utaendelea kujifedhehesha.
Safi sana kamanda labda ulivyomjibu wewe anaweza kukuelewa maana nadhani huyu ritz kama alibahatika kufika darasa la 7 basi walimu wake walipata shida sana kumfundisha.
tunampenda mbunge wetu Joshua nassari, tunamwamini na ndio maana tulimchagua unalosema halipo katika ahadi zake toa ujinga wako hapo. chezea Arumeru wewe, wajanja watupu wapo huku ndio maana tuliiondoa ccm na kubaini mbinu zao zote za wizi.Wanabodi.
Habari tulizozipata kutoka kwa Wananchi wa Arumeru Mashariki, wanaomba kuuliza mbunge wao Joshua Nassari kafikia wapi kwenye ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wapiga kura wake Wananchi wa Arumeru Mashariki, kuwa wakimchagua kuwa mbunge wao Arumeru Mashariki atashusha bei ya sukari ndani ya miezi miwili.
Wananchi wapenda maendeleo Arumeru Mashariki wanahoji lini bei ya sukari itashuka kwenye jimbo lao.
Ni lini utajadili mambo ya maana katika taifa hili?Akili yako imejaa hila na uzandiki. Huishi kuleta mijadala yakipumbavu. Sio kosa lako bali wanao kutumia ndio wakulaumiwa.Mbona hujawahi kuhoji raisi aliyewahi kutoa ahadi kibao ambazo hazitekelezeki!Raisi na serikali ndio wanao kusanya kodi, ilibidi tuwahoja wao kwanza mbona hawatimizi ahadi zao. Lakini wewe akili yako yote ni Mbowe, Nasari, Lisu, Mnyika, CHADEMA................, lo! hata usingizi hupati!Sasa kama Nassari anayajua hayo yote kwa nini alitoa hiyo ahadi ya kushusha bei ya sukari Arumeru?
Joshua Nassari analo hilo tunaomba majibu
nipo Arumeru mashariki na sijapata hizo taarifa, wewe umezipata wapi?
Ni lini utajadili mambo ya maana katika taifa hili?Akili yako imejaa hila na uzandiki. Huishi kuleta mijadala yakipumbavu. Sio kosa lako bali wanao kutumia ndio wakulaumiwa.Mbona hujawahi kuhoji raisi aliyewahi kutoa ahadi kibao ambazo hazitekelezeki!Raisi na serikali ndio wanao kusanya kodi, ilibidi tuwahoja wao kwanza mbona hawatimizi ahadi zao. Lakini wewe akili yako yote ni Mbowe, Nasari, Lisu, Mnyika, CHADEMA................, lo! hata usingizi hupati!
Kumbe wameuliza hilo moja tu la bei ya sukari. vipi hizo 69 ?
Wewe kwako jambo la maana ni kuisifia Chadema! Hiyo kauli ya Nassari kushusha bei ya sukari wala sio yangu na wala sijazusha kwa wale wanaokumbuka wakati wa kampeni za Arumeru hiyo thread ya Nassari kushusha bei ya sukari ilikuwemo humu JF...tatizo lako Chadema imekutia upofu huwezi kuona kibaya chochote kutoka Chadema.