Kizimkazimkuu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2007
- 337
- 242
Ok men it was fun
huyu jamaa bado ana ule mpira wa kizamani sana " beki hasifiwi" kazi yake ni kubutua tu, hajui siku hizi mashambulizi huwa yanzaanzishwa na mabeki.!

Inamaana waliwapa yote?simba wote walikuwa wachumba tu yaani hawakulala na ch.... ila sisi tukawa wavivu tukagonga moja tu!!!
huyu jamaa bado ana ule mpira wa kizamani sana " beki hasifiwi" kazi yake ni kubutua tu, hajui siku hizi mashambulizi huwa yanzaanzishwa na mabeki.!
huyu jamaa bado ana ule mpira wa kizamani sana " beki hasifiwi" kazi yake ni kubutua tu, hajui siku hizi mashambulizi huwa yanzaanzishwa na mabeki.!
Maisha popote.ulichosema ni kweli,canada ndicho kilichomshinda,sasa hivi hutakiwi kuwa too machanical.