Nimefurahishwa na namna CHADEMA/ UKAWA wanavyowafanya CCM wapagawe.
Kutoonekana kwa Slaa kwenye matukio muhimu ya chama na UKAWA ni moja ya mikakati yao ya kuwafanya wapate media coverage kila sikku kuelekea kipindi cha kuanza kampen na kufanya watu wawajadili badala ya kujadili matukio ya CCM ambayo hata kwa sasa mgombea wao hasikiki tena.
Bravo Chadema Bravo Ukawa kwa mikakati mingi madhubuti ya kuhakikisha CCM wanakuwa chama cha upinzani