Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Sehem km hizo ni kujenga kambi za jeshi na kupeleka watu wenye roho katili sana patatulia maana ni miaka kibao wamekua wanaua watu nanserikali ipo tu.Hawa wanamgambo tatizo lao wanatumia raia wa kawaida kama kinga.
Swala hapo ni kuigawa Nigeria tu.Sehem km hizo ni kujenga kambi za jeshi na kupeleka watu wenye roho katili sana patatulia maana ni miaka kibao wamekua wanaua watu nanserikali ipo tu.
SwalaNi kusimamisha dola la kiislamu.Swala hapo ni kuigawa Nigeria tu
Nyinyi na hiyo dini yenu ndo maana mnachukiwa na mnahusishwa na ugaidi.SwalaNi kusimamisha dola la kiislamu.
Umeniquote Bila kunielewa mkuu.Nyinyi na hiyo dini yenu ndo maana mnachukiwa na mnahusishwa na ugaidi
Asante kwa kunielimishaumeniquote Bila kunielewa mkuu ...
Nimesema kuwa nia na madhumuni ya Wanamgambo hao Ni kusimamisha dola la kiislamu.
Kuna wanaojiita herdsmen wapo maiduguri ... They have the same mission Ila wanapata resistance kubwa kutoka kwa igbos... indigenous peoples of Biafra.
Kuna stori kubwa Sana behind machafuko yanayoendelea huko.
Yote hayo yanasababishwa na ukosefu wa elimu.
Huwa nashindwa kabisa kuwasoma ndugu zetu waisilamu.Kundi la Islamic State West Province (ISWAP), ambalo lina ushirikiano na kundi la Islamic State, limedai kuhusika na mashambulizi ya Ijumaa
Mkuu na wakilogwa kuigawa nigeria kisa hao wapuuzi basi watakua wameaapa nguvu sana hata kuanza vita nchi nyingine wapate sehem wafanye yao.Hao nikupeleka jeshi ua hata raia wanao kaa nao maana km ww ni raia mwema umekaa na gaidi hutoi taarifa serikalini na ww si gaid.Swala hapo ni kuigawa Nigeria tu
Mkuu wangu hawa mafala wana advantage moja...kuna wakati wanavaa kiraia tena kama wanawake wanajifunika yale manguo.Hawa uzuri wao wana maeneo wanayoyakalia, inahitajika offensive operation ya kuwashambulia mfululizo.
Inashangaza jeshi na vifaa vyao vyote wanasumbuliwa na vikosi vya wanamgambo Tena wanajulikana maeneo walipo.
Wana ufadhili mzito sana toka kwa wauza mafutaAwa jamaa watakua na jambo nyuma ya pazia sio bule bhana haiwezekani jeshi lishindwe kuwazibiti mgambo
Mgambo na mwanajeshi wote ni binadamu wanaofanana na wote ni wapiganaji.....Awa jamaa watakua na jambo nyuma ya pazia sio bule bhana haiwezekani jeshi lishindwe kuwazibiti mgambo
Dola ya kislamu itakua Nigeria kaskaziniSwalaNi kusimamisha dola la kiislamu.
Vuguvugu la Igbo haliuwi au kuteka wanafunzi kwa Ransom, Nigeria kaskazini asilimia 90+ ni waislamu na wengi Wana elimu ya dini na hawataki kusoma elimu ya magharibi, watu Kama ni rahisi kuwa recruit na wanamgamboumeniquote Bila kunielewa mkuu ...
Nimesema kuwa nia na madhumuni ya Wanamgambo hao Ni kusimamisha dola la kiislamu.
Kuna wanaojiita herdsmen wapo maiduguri ... They have the same mission Ila wanapata resistance kubwa kutoka kwa igbos... indigenous peoples of Biafra.
Kuna stori kubwa Sana behind machafuko yanayoendelea huko.
Yote hayo yanasababishwa na ukosefu wa elimu.