Wanameremeta

Kwa ujinga wa wabongo, utaona sasa hivi hata wakubwa wanawafundisha kupigana miti hawa, tena hadharani kweupeee, kisa eti wanaiga wazazi wao.
 
Waacheni waigize sasa kila siku wanaangalia kipindi cha CHEREKO CHEREKO tu kwa macho




Na kuna vigodoro special on TV ili watoto wazidi kufilana due to curiosity. Utawala wa Kikwete ulikuwa na utata sana hapa Tanzania. Ni vema Magufuli amesitisha misafara ya nje ya nchi ili akae aiongoze vizuri nchi yake kwa utawala bora na maadili mema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…