Je kama anapesa za masharti how do you judge by appearance!?Hapa kuna mambo mbili:
1. Mwanaume ametumia mda mwingi kutafuta pesa na sasa akaamua amuoe mwanamke yoyote anayekidhi vigezo vyake akiamini ni mtu mwenye pesa lazima ampate.
2.mwanamke ameamua aolewe na mtu aliyemzidi umri akiamini atakuwa amepunguza mambo yake yooote ya ujanani hivyo atakuwa mume bora na asiye na michepuko ya kupeana karaha kutokana na vijana wwngi kufanya ndoa kama showoff.
Watu wengi wanasema dada kafata pesa ukiangalia kwa umakini inawezekana mwanamke ndo akawa na pesa kuliko hata huyo mwanaume...coz ngozi ya bqanaharusi ni ngozi isiyo na matunzo kabisaaa kama ya bibiarusi ilivyo,
Kwa mtu mwenye pesa c rahisi kuvaa suti mbaya hivyo cku ya harusi yake lazima angechukua kitu cha hadhi yake kutokana na marafiki alionao hata wangemshauri.
Lakn siku ya sendoff ndo akapendeza na hii aliifanya ili kuwaaminisha upande wa mwanamke kwamba zipo.
Mwanaume wa daslaam kapata jiko
Na ndio maana ckjudge kwa nguo pekeyake cOz nguo si kitu pekee cha kumfanya mtu awe nazo but mtu mwenye pesa kuna vitu vingi vya kumpima navyo....but mm nimeona ngozi yake haina nuru ya mtu menye nazo kwa kweli ...Je kama anapesa za masharti how do you judge by appearance!?
By the way kuna watu wenye hela ndefu harafu uvaaji na muonekano sifuri so Utanashati does not necessarily means unamkwanja mrefu hata BOOM la Board mtu anawezapigia pamba kali.
Nimependa mtazamo wakoHapa kuna mambo mbili: