maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,806
- 2,349
Tunaomba watu wote wenye mapenzi mema na nchi yetu wanamabadiliko mfanye uamuzi sasa wa kuungana hata kama uko CCM njooni haraka kuna mawaziri wengi sana mkubali kupoteza kwa sababu CCM na serikali yake wamegoma kuvunja baraza la mawaziri.
Msisubiri mpaka livunjwe mtakuwa hamjaonyesha uzalendo bali wachumia tumbo tu mje sasa kuongeza nguvu hampotezi ila mtapata heshima kwa watanzania, huu ni ujumbe kwa wale waliopanga kuungana na wanamabadiliko walioko CCM.